Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

Upo sahihi, ndiyo maana hata Lemaalisema, mtu kama Dr. Slaa anastahili kurudi CHADEMA na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, kikubwa amalizane na Wanachama, lakini mtu kama Wenje, anashangaa kwanini bado yupo CHADEMA, sababu anastahili kufukuzwa.
 
Imekuwa ni nafasi nzuri ya kuwafahamu wanasiasa uchwara wanaoropoka bila kujua wayasemayo. Najiuliza Wenje at his rank anawezaje kuzungumza akiwa hana concrete evidence? What if FAM akibwaga manyanga na kumsuport Lisu Wenje atakuwa upande upi? Amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!
 
Unadhani Dulla anamwamini Wenje?🐼

MTU unayeweza kumtumia dhidi ya adui Yako atatumika dhidi Yako pia, ndio kanuni Duniani kote 😂😂
Upo sahihi. Sema Wenje kichwani inaonekana amejaa makamasi tu. Yaani kichwa chake ni kopo la kuhifadhia kamasi. Yaani kila anapoongea anaharibu zaidi. Kila akiongea ni afadhali na jana.🤣 Mwenyekiti wangu ndo anapenda watu kama hawa akina Ntobi ..
 
Subiri uchaguzi upite maana tayari tumeshaambiwa yeye ni PROJECT...
Uwepo wake sasa hivi ni kiashiria cha ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA.

Kusambaza pesa za Abdul na mama yake ni bonge la boriti
 
Huyo alitumwa na chairman
 
Lissu si ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili? Amuite amuadabishe kama yeye ni msafi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…