Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul na mama yake kujenga misingi ya kuipasua CHADEMA. Hatua ya awali kupokea na kugawa pesa zinazodaiwa ni za rushwa kwenye chaguzi za chama, pili kusema uongo unaokituhumu chama na mifumo yake kuwa ni wabadhirifu
Tatu kwa kusema uongo dhidi ya chama
Je kwa katiba na kanuni za CHADEMA, Wenje anapaswa kuendelea kuwa mwanachama wake?