Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Angeliona wapi wakati ni moja ya chama kilishindwa kuwasilisha hati ya mahesabu kwa CAG au hukuiona hii taarifa?Unajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
Vielelezo aliweka Kubenea kuhalalisha uhusika wa EL kwenye Richmond akavikana.Habari inapotoka wengi hukimbilia kusema uzushi ila taratibu utaelewa.UZUSHI MWINGI SANA.TUPIA KIELELEZO JAPO KIMOJA
Kwani CAG keshakagua hesabu za 2015/2016?..hivi hukumbuki moja ya sababu ya Zitto kufukuzwa CHADEMA kukitangaza chama hadharani hakijakaguliwa?..Unajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
Hebu pumzika sasa bana aaaahKwani CAG keshakagua hesabu za 2015/2016?..hivi hukumbuki moja ya sababu ya Zitto kufukuzwa CHADEMA kukitangaza chama hadharani hakijakaguliwa?..
Mwandishi wa nini?Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Jikite kwenye hoja.Mwandishi wa nini?
Wewe umepumzika?Hebu pumzika sasa bana aaaah
Post za u DC bado hazijatoka, naona watu na majina yao halisi wafikiriwe kwenye post, mtajikomba sana hata kuonekana mataahira kwa kuchumia matumboVichenchede ni nyinyi mnaoambiwa zungusha mikono halafu mnazungusha mchana juani na ikifika jioni wenzenu wanakula maisha kivulini. Nyinyi ndio vishankupe mnaowapa watu maisha mema, kumbe wenzenu kiulaini wanavuta fedha kutoka benki.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Haya Malalamiko nayo yanahusiana na ruzuku?Au haya nayo ni matumizi mabaya ya Ruzuku?Mbona hueleweki mkuu?Baadhi ya viongozi?Uchaguzi bado viongozi gani wanataka kuchukua fomu kabla ya uchaguzi?Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne,Fredrick Sumaye na Edward Lowasa. ‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
Maswali yako yote yako relevant na topic yako, je kuna uhusiano gani kati ya upotevu wa ruzuku za chama na hayo maswali yako?Jipangeni vijana mnatia aibu this is too low, angalia heading yako na contents yaani havina kabisa correlation , yaani mnatia aibuJe ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Jikite kwenye hoja wacha kulialia.Unapenda kuwa DC?Post za u DC bado hazijatoka, naona watu na majina yao halisi wafikiriwe kwenye post, mtajikomba sana hata kuonekana mataahira kwa kuchumia matumbo
Context ya mada zako ni same, yaani huna mpya.Wewe umepumzika?
Mimi nimeleta ripoti kama ilivyo,wewe unalialia.Jikite kwenye hoja.Uhamisho mkubwa wa Ruzuku kila mwezi kuanzia mwezi gani na kiasi gani mpaka sasa kimehamishwa?
Haya Malalamiko nayo yanahusiana na ruzuku?Au haya nayo ni matumizi mabaya ya Ruzuku?Mbona hueleweki mkuu?Baadhi ya viongozi?Uchaguzi bado viongozi gani wanataka kuchukua fomu kabla ya uchaguzi?
Maswali yako yote yako relevant na topic yako, je kuna uhusiano gani kati ya upotevu wa ruzuku za chama na hayo maswali yako?Jipangeni vijana mnatia aibu this is too low, angalia heading yako na contents yaani havina kabisa correlation , yaani mnatia aibu
Kwanini unafuatilia.Jibu hoja usilielie!Context ya mada zako ni same, yaani huna mpya.
Huu ndiyo ukweli
Ntajikita kwenye uzushi ambao hauna source?Kwenye habari yako unataja mwandishi, mwandishi wa nini?Nijadili nini?hapo kuna hoja gani?utumbo huu unaita hoja?kwa hiyo kila kinachoandikwa hapa ni hoja ama?Jikite kwenye hoja.