Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

Hiki chuo ndiko wenye div 0 na iv wanaendaga kujichukulia yale makaratasi ya vyeti halafu wanapandishana vyeo maofisini ili wapate mishahara mikubwa na posho hasa huko goverment.

Unakuta mtu ana Masters ya OUT hawezi hata kuandika sentensi ya kiswahili iliyonyooka
 
Hebu tutajie elimu yako na vyuo ulivyosoma.
Kiukweli kwa tuliosoma Elimu ya Juu kuna
vyuo ambavyo vina jina kubwa na Mitaala
Mikubwa Lakini ili ufaulu inategemea namna ulivyo. Lakini vyuo vya Kidini kama TEKU na O.U.T hakuna degree za Chupi na za niongezee maksi usipogikisha Course Work.
Infact, kuna Wanaosoma baadhi ya vyuo sitaki kuvitaja ila acheni kuvichafulia vyuo bora kwakuwa mmesomea vyuo vya kufaulu
Kulingana na ulivyo au kipato chako kikoje.
 
Hivi yule kihiyo wa Temeke aliishia wapi? Hadithi yake kama inakaribiana na hii ya sasa🤣🤣🤣🤣
 
Nashangaa mtu anasema OUT chuo cha kise.nge..hatari hii. Aende akasome aone joto yake.
 
Taarifa ya Chuo hicho hii hapa

View attachment 2850601
kwahivyo kamanda unaskia uchungu sana moyoni kwa huyu mjamaa kudahiliwa kusoma chuo.....

au unajiskia raha sana manung'uniko yako yameskizwa na kujibiwa au sio.....

Serikali sikivu is real!
Tena inaambatana na taasisi sikivu na makini sana kwa wadau wake kama wewe ulivyoskizwa na kujibiwa kwa niaba ya umma wa waTz...
 
Hv hiki chuo ndiko wenye div 0 na iv wanaendaga kujichukulia yale makaratasi ya vyeti halafu wanapandishani vyeo maofisini ili wapate mishahara mikubwa
Wewe mbona na Division zero yako hujaenda kuchukua hiyo degree hapo OUT!
Watu wanapambana kujiendeleza wewe umekalia majungu na upuuzi miaka nenda rudi.
Wewe unajua Wakili machachari Boniface Mwabukusi ni zao la Open University of Tanzania ( OUT).
Nape Moses Nnauye anazo sifa zote za kudahiliwa na OUT kama walivyobainisha.
Tatizo CHADEMA Kumejaa vijana wapumbavu pumbavu wasiotafuta fursa! Kila kitu wao ni ligi tu!
 
Kazi yetu hapa jf ni kukuletea kila kinachoendelea ndani na nje ya mipaka ya nchi yako , hatuangalii nani wala nini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…