Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simbachawene si inasemwa ni Mwanasheria?!Mazengo sec sch Dodoma, then technical college Arusha. Kipindi kile chuo kinatoa cheti Cha fundi umeme . Sasa usiulize Ni umeme wa magari au wa majumbani.
Si kweli,distance learning ni mbinu ya kuchakachua elimu,it is known and we know it.uko sahihi,hata mimi kabla ya kuanza kusoma OUT nilikuwa naona chuo chepesi na marks nitapata kirahisi,ila baada ya kuanza kusoma aise mziki wake acheni kabisa, unapambana kutafuta marks kwa hali zote na hupati ,na kuna watu wanafeli pia,hivyo nafikiri mitazamo yetu inabidi kubadilika kwani wengi tumezoea vyuo vya kawaida lakini elimu ya masafa iko vizuri na yenye ubora uleule ambao vyuo vya kawaida vinavyo.
Mkuu naomba nisisitize,popote pale distance learning ilipo,nia ni ile ile,kuchakachua elimu.Na kwa nini walioko huko wanaona elimu ya Vyuo Huria ni ngumu,kwa kuwa uwezo wao ni mdogo.Angeenda kusoma ST. Augustine au UDSM wana program za watu wenye majukumu.
Siku hizi vyuo Ni vingi na ukiwa na pesa hata PhD ya uchumi unapata.Simbachawene si inasemwa ni Mwanasheria?!
Kwa nini watoto 9, inamaana bodaboda ndio wanapenda sana kuzaa?Mi nilijua tu kwa akili za Napee hawezi kuwa amesoma chuo cha maana, yule bila ubini wa Nnauye ungekuta ni dereva bodaboda fulani huko kwao Lindi mwenye watoto kama 9 hv hadi mwakani 2024!.
Ndio maana hata kuandika neno University tu huwezi 🤣🤣🤣Kwa Utafiti nilioufanya Open University of Tanzania is a Best Univetsity kuliko vingine
Hakunaa Degree ngumu kama ya Open University hakika kile ndio chuo kikuuNashangaa mtu anasema OUT chuo cha kise.nge..hatari hii. Aende akasome aone joto yake.
Ugumu wake ni nn?Hakunaa Degree ngumu kama ya Open University hakika kile ndio chuo kikuu
Hakuna kutafuniwa. Unapewa course work unaenda kupambana mwenywe ...na sijawah kuona janja janja kule ....Ugumu wake ni nn?
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba! Jafo alisoma wapi PhD na akaitetea wapi? Ana Kiingereza cha kuitetea?Master graduates wengi wa bongo hamna kitu kichwani bila kujali chuo alichosoma maana thesis zinaandikwa na watu wengine wao wananua tu.
Hata PhD zingine unashangaa mtu kapataje wakati page moja tu inamshinda kuandika lazima adese kazi ya mtu mwingine no starting from the scratch, no originality.
Elimu yetu bado sana! Vilaza ni wengi kila kona.