Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

Mi nilijua tu kwa akili za Napee hawezi kuwa amesoma chuo cha maana, yule bila ubini wa Nnauye ungekuta ni dereva bodaboda fulani huko kwao Lindi mwenye watoto kama 9 hv hadi mwakani 2024!.
Aiseeee !!
 
Huu ningesoma na mimi , mambo yangekuw mseleleko [emoji17][emoji3]
 
Mi nilijua tu kwa akili za Napee hawezi kuwa amesoma chuo cha maana, yule bila ubini wa Nnauye ungekuta ni dereva bodaboda fulani huko kwao Lindi mwenye watoto kama 9 hv hadi mwakani 2024!.
Mtu na akili yako unaenda kusoma OUT, ...hicho cheti ukimaliza unampekea nani?...., Majority OUT ni failures wa form 4&6, chuo cha Mambulula


Out tangu leo naomba tukiite.....BUMUNDA UNIVERSITY[emoji16][emoji16]
 
Mtu na akili yako unaenda kusoma OUT, ...hicho cheti ukimaliza unampekea nani?...., Majority OUT ni failures wa form 4&6, chuo cha Mambulula


Out tangu leo naomba tukiite.....BUMUNDA UNIVERSITY[emoji16][emoji16]
Hivi Simbachawene alisoma wapi ?
 
Wewe mbona na Division zero yako hujaenda kuchukua hiyo degree hapo OUT!
Watu wanapambana kujiendeleza wewe umekalia majungu na upuuzi miaka nenda rudi.
Wewe unajua Wakili machachari Boniface Mwabukusi ni zao la Open University of Tanzania ( OUT).
Nape Moses Nnauye anazo sifa zote za kudahiliwa na OUT kama walivyobainisha.
Tatizo CHADEMA Kumejaa vijana wapumbavu pumbavu wasiotafuta fursa! Kila kitu wao ni ligi tu!
Mi nisome chuo cha vilaza? Unachekesha sana.

1. OUT hakuna elimu mnapeana makaratasi ya degree tu hamna zaidi.
2. Weka hapa ranks za dunia OUT ni namba ngapi.
3. Nioneshe machapisho ya wahadhiri wa OUT waliyochapisha wakiwa hapo OUT nitajie na journals wanakochapisha papers zao
4. Kwa hiyo kwako Mwabukusi ndiyo kielelezo cha usomi? Pole sana kama huyo ndiyo bench mark yako.
5. Kama kila anayechallenge kitu ni chadema basi ccm wamefanikiwa kwa 80% kupandikiza ujinga wa kudumu kwenye akili za baadhi ya Watz ikiwemo wewe
 
Mi nikadome chuo cha vilaza? Unachekesha sana.

OUT hakuna elimu mnapeana makaratasi ya degree tu hamna zaidi. Weka hapa ranks za dunia OUT ni namba ngapi. Nioneshe machapisho ya wahadhiri wa OUT waliyochapisha wakiwa hapo OUT
Kwani elimu ya afrika ni Nini mkuu. Si ni vyeti tu. Nenda jeshini uone uozo wa magenerali huko. Zero brains wote wapo jeshini
 
Taarifa ya Chuo hicho hii hapa

View attachment 2850601
Aliyeandika huu ufafanuzi nae ni kihiyo tu!
Ni kilaza Kama alivyo Nape....!!!
Ameshindwa vipi kuandika hizo sifa eti Hadi mtu atafute Prospectus? Wameficha nini kuitaja hiyo sifa ya tatu, huko mwanzo wa barua wameanza na mbwembwe kibao iweje washindwe kuandika kile kilichohojiwa haswa?
Jinga sana!!!
 
Nape ameamua kusoma mnapiga kelele lipi bora kusoma au kupewa zike za bure causa siku zimejaa popote ukienda unapewa
 
Tuna mawaziri wa hovyo kama huyu na elimu yake tia majitia maji.
Mwizi wa mitihani January Makamba.
Bosi wao kasomea ukarani akiwa na ndoto ya kuwa mhudumu wa ndege.
Hii nchi Mungu kweli kaamua kuionea
 
Hiki chuo ndiko wenye div 0 na iv wanaendaga kujichukulia yale makaratasi ya vyeti halafu wanapandishana vyeo maofisini ili wapate mishahara mikubwa na posho hasa huko goverment.

Unakuta mtu ana Masters ya OUT hawezi hata kuandika sentensi ya kiswahili iliyonyooka
Uko sahihi kwa 100%
 
Kwa Utafiti nilioufanya Open University of Tanzania is a Best Univetsity kuliko vingine
"Is a best" ndio kiingereza gani?
Hiyo tu inaonesha product za hicho chuo zilivyo.
Umesoma chuo hata hujui definite article ni Nini?
 
Back
Top Bottom