Duh!Kiukweli kwa tuliosoma Elimu ya Juu kuna
vyuo ambavyo vina jina kubwa na Mitaala
Mikubwa Lakini ili ufaulu inategemea namna ulivyo. Lakini vyuo vya Kidini kama TEKU na O.U.T hakuna degree za Chupi na za niongezee maksi usipogikisha Course Work.
Infact, kuna Wanaosoma baadhi ya vyuo sitaki kuvitaja ila acheni kuvichafulia vyuo bora kwakuwa mmesomea vyuo vya kufaulu
Kulingana na ulivyo au kipato chako kikoje.
Mkuu 'KingMwaisa', sikutaka kuweka maoni yangu kwenye mada hii, lakini baada ya kusoma bandiko lako hili, nikashindwa kabisa kujizuia kuandika chochote humu!
Basi, inatosha, sitaendelea kusema mengine zaidi.
Aaaah! Hapana, labda nimalize kwa kuuliza swali: Hicho chuo cha O.U.T. ni cha dhehebu gani la dini?