Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

Angeenda kusoma ST. Augustine au UDSM wana program za watu wenye majukumu.
 
Mazengo sec sch Dodoma, then technical college Arusha. Kipindi kile chuo kinatoa cheti Cha fundi umeme . Sasa usiulize Ni umeme wa magari au wa majumbani.
Simbachawene si inasemwa ni Mwanasheria?!
 
Si kweli,distance learning ni mbinu ya kuchakachua elimu,it is known and we know it.
 
Angeenda kusoma ST. Augustine au UDSM wana program za watu wenye majukumu.
Mkuu naomba nisisitize,popote pale distance learning ilipo,nia ni ile ile,kuchakachua elimu.Na kwa nini walioko huko wanaona elimu ya Vyuo Huria ni ngumu,kwa kuwa uwezo wao ni mdogo.
 
Simbachawene si inasemwa ni Mwanasheria?!
Siku hizi vyuo Ni vingi na ukiwa na pesa hata PhD ya uchumi unapata.
Ila mwamba alisoma Mazengo technical O level miaka ya 85/88 yaani o level alisomea ufundi. Enzi za Mkoba, akifuatiwa na Msasa, chini yake Ddungu na wengineo.
 
Mi nilijua tu kwa akili za Napee hawezi kuwa amesoma chuo cha maana, yule bila ubini wa Nnauye ungekuta ni dereva bodaboda fulani huko kwao Lindi mwenye watoto kama 9 hv hadi mwakani 2024!.
Kwa nini watoto 9, inamaana bodaboda ndio wanapenda sana kuzaa?
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba! Jafo alisoma wapi PhD na akaitetea wapi? Ana Kiingereza cha kuitetea?
 
Open hakuna janja janja,hakuna degree za vitandani,ni mwendo wa masafa,unapewa course work na course outline na university prospectus ,unaanza kuogelea ,facilitator utakutana Naye physically kwa robo nne za mwaka , otherwise you will be communicating through digital lines/ forums ,kwahiyo no room for manipulation,kile ni chu o hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…