......ona sasaa.....!! Damu imemwagika dogo atakaa sana jela....apambane kesi miaka 5 huko akikutwa hatia mmmmm .....tutakiane amani jamaniiiNasikia chanzo ni mademu!!!
Mh ila huyu dada ni zaidi ya INZI wa kijaniIngia mtaani basi na mdudu, slaa, na mwambulukuku muandamane mpaka jeshini. Mwiteni na lussu awasaidie kisheria za kufoka foka.
😁😁😁 wewe wakikudaka wanakata hivyo vidole gumba vilivyo-typeSiyo kaushamba,hawa ni washamba kabisa, nakumbuka miaka ya nyuma pale Mwenge kwenye magorofa waliyokuwa wanakaa hawa washamba walikuwa wanaweka mapazia ya viroba. Hawa walitakiwa wakae porini tu kwenye makambi yao.
Hii imeniamisha sasa wewe una stress za ugonjwa au za kifamilia, nidhani unasingiziwaIngia mtaani basi na mdudu, slaa, na mwambulukuku muandamane mpaka jeshini. Mwiteni na lussu awasaidie kisheria za kufoka foka.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Hii imeniamisha sasa wewe una stress za ugonjwa au za kifamilia, nidhani unasingiziwa
Wenyewe wanaona ujanja kumbe ujinga tu.So wazee wa mabakamabaka wamepata faida gani hapo kupiga watu wasio na hatia na mtuhumia yuko selo
Waliopigwa hawahusiki na hiki ulichoandika mkuu.Tulieni raia.....Jeshi lipo kwenye operation safisha vibaka Kawe
I think nimekupata kwa namna fulani. Ila basi wajaribu kuwafundisha nidhamu na upendo wa dhati kwa raia.Sio Rahisi Kama unavofikiria waulize wataalam wa Maswala ya kiusalama watakuambia Kama Ni Rahisi kiasi hicho Askari ambao tayari walishazoea kupokea mishahara alafu Leo hii uwafukuze waingie street njaa ya Mwezi mmoja tu utaanza kusikia Matukio ambayo jamii ilikuwa imepumzika nayo.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Rais anayesifiwa kwa utendaji wa watu wa chini basi abebe lawama za uzembe wa watu wa chini piaHabari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa ajili ya kumlinda, na kumpigania mwananchi wa Tanzania.
Lakini pia liliundwa kwa ajili ya kuilinda mipaka ya Tanzania, pamoja na viongozi wa Tanzania akiwemo raisi wa nchi (ambae ni amiri jeshi wao mkuu) mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine mbali mbali. Hilo ndio lilikuwa lengo la kuundwa kwa jeshi hilo, lkn pia kupewa jina hilo (JWTZ)
Sasa inashangaza sana jeshi ambalo lingewalinda na kuwapigania wananchi, ndio linageuka kuwa jeshi la kuwapiga hovyo wananchi, kuwatesa wananchi na hata wengine kuwauwa wananchi bila sababu za msingi.
Yes tunajua kwamba kila binadamu ana mapungufu yake, hivyo wapo wananchi wanaofanya makosa, au mambo mabaya kwa jeshi letu. Lakini kuna sheria na mahakama ambavyo vinaweza kutumika kuwaadhifu wale wanaofanya mambo mabaya kwa jeshi letu, na sio jeshi hilo kukimbilia tu kujichukulia sheria mkononi mpaka kupelekea maafa kama yaliotokea Kawe na kwengineko.
Malalamiko ya wananchi au raia dhidi ya jeshi hayakuanza leo, ila cha kushangaza badala ya kumalizwa kwa njia ya amani, ndio yanazidi kuongezeka kwa njia za kuchochewa na jeshi hilo hilo lililopewa dhamana ya kutulinda.
Kwa kilichotokea juzi huko Kawe, nafikiri viongozi wengi wa kiserikali wanalifahamu, lkn kwa vile pengine sio wahusika wakuu wa maswala ya kiusalama ndio maana hawahitaji kuliingilia swala hili.
Hivyo sisi wananchi tunamuomba waziri husika wa ulinzi mama yetu Stergomena Tax, pamoja na waziri wa mambo ya ndani brother Masauni waingilie kati swala hili kwa kuonya, kulaani na kutolea maelezo swala husika.
Msingoje mpaka raisi aje kulizungumzia mwenyewe, na wakati nyinyi kama mawaziri mmepewa dhamana ya kutulinda.
Kwa niaba ya wananchi wanyonge, ni mimi mpigania haki zao Mr Dudumizi wa somewhere in Kawe.
Kumbe kuna kichapo kilitembezwa kawe na hamsemi?Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wanawapeleka wapi hao vibaka?Tulieni raia.....Jeshi lipo kwenye operation safisha vibaka Kawe
Kwani nawasingizia mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16] wewe wakikudaka wanakata hivyo vidole gumba vilivyo-type
Sheria za nchi zifuatwe na wahusika wachukuliwe hatua.Hekima na busara zitumike.
Hilo ndio Jambo la MsingiI think nimekupata kwa namna fulani. Ila basi wajaribu kuwafundisha nidhamu na upendo wa dhati kwa raia.
Tatizo tunaloongelea hapa, sio kutaka kuachwa kwa aliefanya tukio. Tatizo ni ile aliefanya tukio ni mungine, na wanaopigwa na hao sojaz ni wengine ambao hawakuwepo na wengine hawakufahamu hata kilichokuwa kimetokea.Nidhamu iatawekwa na kufuatwa.....
Kama itaachwa hivyo kwamba amemuua mwanajeshi na hajafanywa chochote...Kesho itakuwa wewe
We ni mjinga punguaniMtoa maada umeandika ujinga pia waao changia. Hawafikiri vizur. Hakuna sababu yeyote inayo kupa haki ya kuu.huo ni uasi
Hiyo haiwasaidii hata. haimanishi wakizingua mmoja mmoja huku kitaa wataachwa, kisu mkunjo kitawahusuBaada ya wiki mbili Kawe patakiwa mahala salama...wacha wajeda watoe kipigo iwe fundisho