Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

Mwanajeshi anayepiga mwananchi huyo sio mwanajeshi, ni mgambo kama mgambo wengine tu. Ni vizuri wakabainika hao wachache wakachukuliwa hatua ndani ya jeshi ili wasiendelee kulichafua jeshi letu tukufu.
Hivi unataka kunambia hao wanajeshi wamefanya tu hiyo ishu bila amri kutoka juu???

Na ndo maana mpaka now unapna kimya,
Lakini pia nashangaa hakuna chombo cha habari kilichoriport hilo tukio.
 
Hivi unataka kunambia hao wanajeshi wamefanya tu hiyo ishu bila amri kutoka juu???

Na ndo maana mpaka now unapna kimya,
Lakini pia nashangaa hakuna chombo cha habari kilichoriport hilo tukio.
Inashangaza sana raia wanapigwa hovyo, alaf vyombo vya habari vinaogopa ku report.

Kwa sasa ni JF pekee ndio unapoweza kupata habari za uhakika, na za kila siku.
 
Inashangaza sana raia wanapigwa hovyo, alaf vyombo vya habari vinaogopa ku report.

Kwa sasa ni JF pekee ndio unapoweza kupata habari za uhakika, na za kila siku.
Ni kweli though jf nayo baadhi ya nyuzi wanazifuta.

Yaani badala ya kwenda mbele sisi tunarudi nyuma.
 
Ni kweli though jf nayo baadhi ya nyuzi wanazifuta.

Yaani badala ya kwenda mbele sisi tunarudi nyuma.
😂😂😂😂

Hilo wengi tumeshaliongea sana humu jukwaani. Kuna ule msemo unaosema "kila kizuri hakikosi kasoro".

Pamoja na JF kuwa na sifa nzuri pamoja na kupendwa na watu wengi, lkn kuna baadhi ya moderators wanajaribu kuihujumu bila boss wao mwenyewe kujua, au kuwajua wahujumu.
 
Hivi unataka kunambia hao wanajeshi wamefanya tu hiyo ishu bila amri kutoka juu???

Na ndo maana mpaka now unapna kimya,
Lakini pia nashangaa hakuna chombo cha habari kilichoriport hilo tukio.
Anzisha chako ukaripoti.
 
Long story mkuu. Ukisoma comments mbali mbali humu utaelewa.
Ok nimepia pia mkuu inasemekan mlinda mipaka alitakiwa kumpisha dereva wa Bajaji, ukatokea ubishi wa apa na pale ndo dereva akamchoma mlinda mipaka na kitu chenye ncha kali.

RIP kwa mlinda mipaka wetu.

Pia natoa pole kwa dereva wa Bajaji, najua aliuwa bila kukusudia.
 
Siyo kaushamba,hawa ni washamba kabisa, nakumbuka miaka ya nyuma pale Mwenge kwenye magorofa waliyokuwa wanakaa hawa washamba walikuwa wanaweka mapazia ya viroba. Hawa walitakiwa wakae porini tu kwenye makambi yao.

Tafuta hela punguza majungu na matusi nyuma ya keyboard
 
Mkuu sifurahii, na pia kulikuwa na sababu ya mauaji. Sio kwamba dogo alitoka huko akaja tu kumvamia na kumuua.

Kulikuwa na sababu iliyopelekea dogo kuu. Lkn pia kuna sheria na mahakama ambavyo vipo kwa ajili ya kuendesha kesi za namna hiyo na baadae kutoa hukumu.

Wewe unahalalisha watu wasiohusika na ambao hawakuwepo hata eneo la tukio kuvamiwa na kupigwa hovyo, et kwa sababu ofisa wao ameuliwa na mtu wasiomfahamu!!

Basi utulie kama kulikua na sababu ya kuua basi na sababu ya kichapo ipo
 
Sahau kama kuna waziri au hata Rais wa nchi anayeweza kujitokeza hadharani akalikemea jeshi. Siyo Tanzania tu, dunia nzima.

Sana watakaa chini na wakuu wa jeshi, yamalizwe kidiplomasia. Usiwe na wasiwasi.

Wamekuelewa asiyeelewa hii comment ni zuzu wacha waendelee kutukana hovyo.
 
Siyo kaushamba,hawa ni washamba kabisa, nakumbuka miaka ya nyuma pale Mwenge kwenye magorofa waliyokuwa wanakaa hawa washamba walikuwa wanaweka mapazia ya viroba. Hawa walitakiwa wakae porini tu kwenye makambi yao.

Toka nyuma y keyboard andamana kwenda Lugalo ukadai haki itendeke
 
Ok nimepia pia mkuu inasemekan mlinda mipaka alitakiwa kumpisha dereva wa Bajaji, ukatokea ubishi wa apa na pale ndo dereva akamchoma mlinda mipaka na kitu chenye ncha kali.

RIP kwa mlinda mipaka wetu.

Pia natoa pole kwa dereva wa Bajaji, najua aliuwa bila kukusudia.
Yah ni kweli jamaa hakukusudia kabisa kuuwa. Ilitokea tu kama ajali mkuu, na wala yeye hakuwa muanzilishi wa ugomvi.
 
Basi utulie kama kulikua na sababu ya kuua basi na sababu ya kichapo ipo
Acha ujinga dada. Wewe unaona kuwa sababu ya kichapo ipo hata kwa watu ambao hawahusiki, na wala hawakuwepo eneo la tukio!!

Hivi ukipata taarifa kuwa kuna bint anatembea na mumeo Kinondoni, wewe utakurupuka tu ukaanze kupiga mabint wenzio na kina mama watu wazima pale Kinondoni et kisa kuna bint kakuchukulia mumeo?

Nakushauri siku ukijua kuwa kuna bint anatembea na mumeo, basi tafuta njia nzuri ya ku deal na mgoni wako. Usitake kumuingiza kila mtu mnaechangia nae jinsia. Ni makosa makubwa kisheria.
 
Mwanajeshi anayepiga mwananchi huyo sio mwanajeshi, ni mgambo kama mgambo wengine tu. Ni vizuri wakabainika hao wachache wakachukuliwa hatua ndani ya jeshi ili wasiendelee kulichafua jeshi letu tukufu.
Mimi Nilikuwa nawapiga saana wanajeshi miaka hiyo huko 24Kj kigoma nimewapiga saana askari wa hicho kikosi aise mpaka ikafikia hatua

Sir meja
Luten kanal na KANAL wa hicho kikosi wakanitafuta nimalize tofauti zangu na askari wao
 
Back
Top Bottom