Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Wewe ndiyo msemaji wake mkuu. Kwani yeye hajui kusema. Naona Kabendera anahamasisha watu wajitokeze. Yeye akae na uonjgo na chuki yake...jizi na tapeli!
 
Alingojea mwendazake aende zake ndo atoe tuhuma. Cowardice of the highest order.
 
Mwendazake hata Shetani bado amemuweka pending kule jehanam. Kila akiangalia CV yake anamuogopa kuwa anaweza kumgeuzia kibao hata yeye mwenyewe.

Shetani anaogopa kuuliwa na Magufuli
Dah nafanyaje kuicopi hii?
Nimecheka peke yangu hapa!
Yaani watu mlimjua mshenzi yule....
 
Sasa JK ajibu nini haupo, yeye angejuaje
 
Anaendelea kuwapa taabu hata katika umauti wake. Pathetic echelons!
 
Sababu za kihistoria zilizobeba CCM huko nyuma, ila tokea uchaguzi wa 2010 kizazi kilichoibeba CCM kiliisha. Kwa sasa vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi tu ndio nguzo yao.
Na hicho kizazi hakikurithisha hiki kizazi cha sasa cha kupewa kofia na tisheti?
 
Muda wanaoupoteza kumchafua magufuli wangeutumia kuwaeleza watu walichoifanyia Tanzania wakati wao wakiwa viongozi, kidogo wangeeleweka.
 
Dada yoga mlikuwa hamumuamini na riwaya zake, Kabendera na yeye hamumuamini?

Ama kweli MEMKWA imeathiri sana watanzania
 
kuhongwa pesa ili azifanyie nn?mimi bado sijamwelewa mtoa uzi.
 
Yuko Jehanam ya Moto! washtaki wake (ben saanane, Simon Kanguye na jopo kubwa la wale waliotumbukizwa baharini kwenye viroba ) wapo kule peponi wanatabasamu na baba yao ibrahim!! Jiwe anatia huruma anavyosaga meno kwa uchungu wa moto mkali!
 
JPM anabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania hatosahaulika wala kuchafuka na propaganda za chini namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…