DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anakosea sana,
Kwa nini unasema anakosea? Hivi information zilizopo kama kwenye hii story niliyoipost, unadhani ametumia muda wa masaa mangapi kuikusanya, kuiandaa na kuiandika?
Hana haki ya kuthaminisha muda wake?
Hapo ukute baadhi ya waliompa info lazima aliwapa hela ya soda kidogo.
Hela yenyewe anayochaji ni shilingi 2500 tu kwa mwezi.
 
Kuna wengine wamekamatwa zaidi ya huyo billionaire. Mbona hukuzungumzia ni akina nani na role yao kwenye uhalifu?
 
Kwa nini unasema anakosea? Hivi information zilizopo kama kwenye hii story niliyoipost, unadhani ametumia muda wa masaa mangapi kuikusanya, kuiandaa na kuiandika?
Hana haki ya kuthaminisha muda wake?
Hapo ukute baadhi ya waliompa info lazima aliwapa hela ya soda kidogo.
Hela yenyewe anayochaji ni shilingi 2500 tu kwa mwezi.
Ametoa mtiririko mzuri sana nampongeza kwahilo lakini kuiuza kwangu naona kuna kasoro kidogo! Vingine ni huduma haviuzwi hasa habari kama hizi ninazoziita "kwa manufaa ya jamii"[emoji1545]
 
Sasa mkuu kama mtu anapoteza muda wake kuandika na kutafuta ukweli wa mambo how comes awape madini bure??? 2500 kwa mwezi unasoma visaa vyote na uzuri huwa hafuti so mfano mimi huwa nakaa hata miezi 3 sijalipa nikiona visa vimekuwa vingi ndo nalipa.
Nadhani kwenye hili tuna maoni tofauti na hii sio dhambi kabisa.. Nimekuelewa[emoji1545]
 
Andron Nichodemus ( cox) jamaa tumelala wote dom 2 pale umbwe nilikua nalala deck ya juu jamaa alikua muhuni flani hivi ( mambo ya kinyamwezi sana) ila kichwa sana ( hasa mathematics) tulikuja kukutana UDSM akichukua B.com nimekuja kusikia jamaa ni billionaire ila tena juzi naambiwa kaua mtu .maisha haya duuh.
 
Hasira na pombe ndo zimemharibia mshikaji.
 
sawa fedha inaongea, lakini mpaka achoropoke hapo kazi anayo

nakumbuka kesi ile ya kasusura ile, pesa zote zile za wizi ziliishia kwenye kuhonga, pesa imeisha jamaa kadakwa
Of course jamaa tayari pesa yake inamsaidia so far. Angekua ni kapuku, muelekeo hadi sasa ungekua tofauti kabisa, na ungekuta kashapandishwa kizimbani.
Ila utofauti wa Kasusura na huyu, kumbuka Kasusura zilikua ni pesa za wizi, so ilikua lazima ifike point ziishe. Ila huyu ana kampuni ambayo inamuingizia pesa tu days in days out. Na pia ana hisa. So, inaweza kuwa tofauti kidogo.
 
Back
Top Bottom