DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii story haiwez kua genuine
Maana hata uyo uliyempa credit
Amekua ni mwizi sugu wa story za watu humu jf na kuzipeleka uko kwenye page zake insta,telegram na Facebook.



Sent using Jamii Forums mobile app
Okaay.
Kwani kuiba story na kuisimulia kama ya kwako kunaondoa ukweli wa hiyo story mkuu?
 
Kwa nini unasema anakosea? Hivi information zilizopo kama kwenye hii story niliyoipost, unadhani ametumia muda wa masaa mangapi kuikusanya, kuiandaa na kuiandika?
Hana haki ya kuthaminisha muda wake?
Hapo ukute baadhi ya waliompa info lazima aliwapa hela ya soda kidogo.
Hela yenyewe anayochaji ni shilingi 2500 tu kwa mwezi.
Huyo Jamaa fortunate buyobe anatuhuma za kuiba story za watu humu jf na kwenda kuziuza uko kwny page zake.

Ukimfata kumuelekeza anakublock na Maneno ya shombo kukutupia

Kwnn huwa hatoi credit kwa wenye nyuzi zao, uongoz wa jf au Wana jf kiujumla na story anachukua humu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa wamuheza haki isipotendeka tunguli lazima zifanye kazi pale Bonde au watasogea kwa ndugu zao wa kicheba.

Adron ni Mpumbavu fulani pamoja na akili zake za darasani lakini akili za kimtaa hana na ndio akili muhimu zinazoweza kukufanya ukaishi salama duniani, ukiona unatabia yakuonyesha onyesha bastola hovyohovyo hadharani na kutishia watu ujue wewe ni PUMBAVU NA MSHAMBA mmoja hivi.
 
Huyo Jamaa fortunate buyobe anatuhuma za kuiba story za watu humu jf na kwenda kuziuza uko kwny page zake.

Ukimfata kumuelekeza anakublock na Maneno ya shombo kukutupia

Kwnn huwa hatoi credit kwa wenye nyuzi zao, uongoz wa jf au Wana jf kiujumla na story anachukua humu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana ni britanicca
 
Doh!na inakuwaje huyu jamaa ana full story?haon kwamba anaharibu ushahid
How anaharibu ushahidi?
Hadi sasa hakuna kesi ambayo iko mahakamani kuhusiana na hili tukio, labda kesi ingekua mahakamani hapo ungeweza sema anaharibu kwa kuongelea ishu ambayo iko mahakamani.
Na hapo ujiulize why wanachelewa hivyo kulipeleka hili suala mahakamani?
Nguvu ya pesa.
 
Back
Top Bottom