DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
How anaharibu ushahidi?
Hadi sasa hakuna kesi ambayo iko mahakamani kuhusiana na hili tukio, labda kesi ingekua mahakamani hapo ungeweza sema anaharibu kwa kuongelea ishu ambayo iko mahakamani.
Na hapo ujiulize why wanachelewa hivyo kulipeleka hili suala mahakamani?
Nguvu ya pesa.
Kuharibu ushahid ni had kesi iende mahakamani?nway sina utaalamu na hayo mambo
 
Naomba jina la Twitter lenye hyo story mkuu .... na km Andron sie aliyefyatua risasi why afiche .... na Adinani alipata wapi hyo silaha ya kumuua mlinzi....Naona ndugu Adnani anataka kuangushiwa jumba bovu apo....pesa inataka kufunika mambo
Kumbe hujasoma?
Jamaa ameeleza kuwa silaha ni ya mke
 
Wengi huwa nawashauri kuwa shika bunduki tu kama ni sehemu ya kazi yako. Lakini vijana wana miliki bunduki kama alama ya mafanikio, nguvu na umaarufu.

Maishani mwangu sijamuona aliyemiliki bunduki ikamsaidia wakati "Wazee Wa Kazi" wamefika kuchukua chao.

Wengi wanaishia ku- misuse kama vile lililompata Ramadhan Ditopile Mzuzuri pale Njia Panda ya Kawe.

Kama Andron angekwenda bila bunduki pengine angemzaba kibao huyo mlinzi, kisha kugundua kuwa aliyempiga kibao siyo mlengwà, angemuomba samahani na kumpa hata Tsh Elfu 50 kufuta machozi.
 
Back
Top Bottom