TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #21
Yeah, anajaribu ku monetize jitihada zake.Fortunatus anataka mlipie Telegram channel yake apate chochote cha kuwalisha wanae
Anakosea sana,Fortunatus anataka mlipie Telegram channel yake apate chochote cha kuwalisha wanae
[emoji1545] Damu ya mtu haiendi bureKaribu sana mkuu Kwa hakika hiki kisa kinasikitisha sana.
Kwa nini unasema anakosea? Hivi information zilizopo kama kwenye hii story niliyoipost, unadhani ametumia muda wa masaa mangapi kuikusanya, kuiandaa na kuiandika?Anakosea sana,
Sasa mkuu kama mtu anapoteza muda wake kuandika na kutafuta ukweli wa mambo how comes awape madini bure??? 2500 kwa mwezi unasoma visaa vyote na uzuri huwa hafuti so mfano mimi huwa nakaa hata miezi 3 sijalipa nikiona visa vimekuwa vingi ndo nalipa.Anakosea sana,
Ametoa mtiririko mzuri sana nampongeza kwahilo lakini kuiuza kwangu naona kuna kasoro kidogo! Vingine ni huduma haviuzwi hasa habari kama hizi ninazoziita "kwa manufaa ya jamii"[emoji1545]Kwa nini unasema anakosea? Hivi information zilizopo kama kwenye hii story niliyoipost, unadhani ametumia muda wa masaa mangapi kuikusanya, kuiandaa na kuiandika?
Hana haki ya kuthaminisha muda wake?
Hapo ukute baadhi ya waliompa info lazima aliwapa hela ya soda kidogo.
Hela yenyewe anayochaji ni shilingi 2500 tu kwa mwezi.
Nadhani kwenye hili tuna maoni tofauti na hii sio dhambi kabisa.. Nimekuelewa[emoji1545]Sasa mkuu kama mtu anapoteza muda wake kuandika na kutafuta ukweli wa mambo how comes awape madini bure??? 2500 kwa mwezi unasoma visaa vyote na uzuri huwa hafuti so mfano mimi huwa nakaa hata miezi 3 sijalipa nikiona visa vimekuwa vingi ndo nalipa.
Kwa hili tukubaliane kuwa tuna mitazamo tofauti.Ametoa mtiririko mzuri sana nampongeza kwahilo lakini kuiuza kwangu naona kuna kasoro kidogo! Vingine ni huduma haviuzwi hasa habari kama hizi ninazoziita "kwa manufaa ya jamii"[emoji1545]
Hasira na pombe ndo zimemharibia mshikaji.Andron Nichodemus ( cox) jamaa tumelala wote dom 2 pale umbwe nilikua nalala deck ya juu jamaa alikua muhuni flani hivi ( mambo ya kinyamwezi sana) ila kichwa sana ( hasa mathematics) tulikuja kukutana UDSM akichukua B.com nimekuja kusikia jamaa ni billionaire ila tena juzi naambiwa kaua mtu .maisha haya duuh.
Very sad.Mke kakosa Mme watoto wamekosa Baba, lakini kuna watu wanavuta mpunga, mlinzi mwenyewe kimshahara chake kiduchu na roho imenyofolewa kikatiri[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pombe na hasira combination mbaya sana.duh, pombe ime speed up hasira
sawa fedha inaongea, lakini mpaka achoropoke hapo kazi anayoPombe na hasira combination mbaya sana.
Of course jamaa tayari pesa yake inamsaidia so far. Angekua ni kapuku, muelekeo hadi sasa ungekua tofauti kabisa, na ungekuta kashapandishwa kizimbani.sawa fedha inaongea, lakini mpaka achoropoke hapo kazi anayo
nakumbuka kesi ile ya kasusura ile, pesa zote zile za wizi ziliishia kwenye kuhonga, pesa imeisha jamaa kadakwa