DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumbe hujasoma?
Jamaa ameeleza kuwa silaha ni ya mke
Kuna sehem mleta uzi nadhan amekosea,anasema Adinani alikosea na kumpiga chuma mlinzi...ndio maana nikauliza Adinani hyo silaha kaipata wap wakat alikuja nayo Andron.....unless mleta uzi alimaanisha Andron ndio alikosea na kumpiga chuma mlinzi na sio Adinani
 
Ahaa
 
Sasa mkuu kama mtu anapoteza muda wake kuandika na kutafuta ukweli wa mambo how comes awape madini bure??? 2500 kwa mwezi unasoma visaa vyote na uzuri huwa hafuti so mfano mimi huwa nakaa hata miezi 3 sijalipa nikiona visa vimekuwa vingi ndo nalipa.
Shida ni kuwa anakosea some details za story zake! Na hii si Mara ya kwanza kwa yeye kupotosha kwenye story zake!
Nitakupa hostoria fupi ya Aron/ Andron for example!
Andron/Aron amezaliwa Babati, kwao ni opposite na mahakamani aka kwa-meet Centre (community centre) na alisoma Maisaka primary (near hospital ya mrara) then Umbwe secondary then Minaki secondary (EGM) then UDSM (Bcom).
Hakusoma kabisa DIT na wala Hana historia ya kuua watu may be on this occasion. Wazaz wake (mzee Mendez alishafariki muda kidogo) na malezi yake tunayajua na hulka zake tunazijua
 
Bilionea ambaye yard/godown halina surveillance kamera za kuonyesha ata panya wapitapoo
Camera zipo, Godown ni kubwa sana, ni one of the biggest distributors wa Gesi Dar.

Potentially angekuwa mkubwa Tanzania nzima.

Mimi naamini huu ushauri alitoa kwa Mwanamke...

I don't know how this case can be on his favor, labda apate kifungo cha muda mfupi, aje atoke kwa msamaha wa Rais
 
O.level mi nilimaliza 2002 alikua mbele yangu darasa moja class yao alikuwa na kina Allen Charles nae amefariki masikini . Si class yetu tulikua na kina Fred mtui , Andrew na wakina bernad chezue kiredio Hahaha. Loooong time
Fred baadae alisoma pugu?
 
O.level mi nilimaliza 2002 alikua mbele yangu darasa moja class yao alikuwa na kina Allen Charles nae amefariki masikini . Si class yetu tulikua na kina Fred mtui , Andrew na wakina bernad chezue kiredio Hahaha. Loooong time
O level kamaliza 2000
 
All in all unapomiliki ela nyingi ni kumuomba Mungu akupe akili za kuzimiliki,vita ni kubwa sana kwenye Ulimwengu wa Roho,ukiacha ego.
Mi Kuna jamaa yangu naamini angekua anamiki silaha ingeshakua mambo ingine sa hii,hataki kubishiwa chochotee na mkiwa nae anajiona ye ndo yeye dakika moja tuu kashakubadikiaa.
Tumwombee Mungu sana ndugu zangu kwenye Kila jambo.
 
Zama za mpiga picha na masupa star zimerudi
 
Kwa habar nikizopata pesa ya kasusura haikuisha ilifanya maendeleo kupitia shemeji yake.... Ingawa ilitumika kweli kweli....

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…