DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwenye tuko lenywewe mke wake hakuwepo. Inasemekana alikuwa baada ya tukio, ila gari ndio iliondoka na huo mwili. Anyways, jamaa alijaribu mpaka kubadilisha namba ya gari, akajaribu na kuuza hilo gari; too bad.

Pombe na Bunduki sio combination nzuri
Kweli asee... Pombe na pistol... Hasa kwa hawa vijana wasio na busara af wakafanikiwa kushika pesa mingi before40..... Kuna yule mwamba wa alia sinza wakati ule

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
O.level mi nilimaliza 2002 alikua mbele yangu darasa moja class yao alikuwa na kina Allen Charles nae amefariki masikini . Si class yetu tulikua na kina Fred mtui , Andrew na wakina bernad chezue kiredio Hahaha. Loooong time
Fredy mtui baadae akaenda pugu? Wakat flan nliskia yuko tbl

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Katika mitego ya shetani hakuna cha elimu wala nini majuto huja baadae najua hivi sasa bwana andron anajuta sana.
Omba sana Mungu akulinde dhidi ya mitego ya muovu na akuepushe na gadhabu bwana andron amefanya yote kwasababu ya gadhabu ya kuhujumiwa
Cha msingi ktk kila jambo ni kuomba busara na hekima make itakusaidia ktk kupima na kufanya maamuzi.

Kuna time tunadanganyana sana huku mtaani mtu anatoa ushaur wa kibabe na nn... Kumbe matokeo yake unakuja kukugharimu mbeleni.

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
USISHANGAE KUSIKIA ANAKULA MPAKA NNKUKU ZA KFC KITUONI

HUYOO MDA TU UTASEMA A AKITOKA UTUJULISHE MKUU
RIP.MLINZI
R
 
Duh hatari sana
 
Haki haipotei, unaweza kuhonga Polisi unavyotaka lakini taarifa zote zitakuwa salama sehemu ili siku haki itendeke. Huwezi kukimbia jinai haifi hata uhonge vipi.
Hii kesi ni kubwa,lakini kwa bongo ya michongo,itamalizwa faster!!kama kesi ya Yule Binti aliyeua mama yake akamfukia uhani,DPP aliishia kusema"serikali Haina Nia ya kuendelea na kesi"Binti akawa huru!sasa hv anakula maisha na mganga wake walieshirikiana kuua,
 
Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa Mende. Damu ya mtu asiye na hatia haipotei bure.
Huyu dogo Mende kwa misifa ashajiharibia big time. Anaweza na ataweza kushinda kesi lakini Karma iko pale pale.
Labda inawezekana, lakini ingekuwa fikra hizo zipo sawa basi nusu ya matajiri wa hapa bongo wasingekuwepo leo hii.

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 

Ni kweli huyu mwandishi anapotosha sana, bwana Andron nimefanya nae kazi kampuni flani ya Insurance akiwa mhasibu pale Mikocheni kabla hajawa Billionaire, alikuwa humble person wala sio mlevi au mtu wa hasira kama anavyosema huyu mwandishi uchwara labda kama pesa imembadilisha sasa.!
 

Hasira hasara
 
Mara ya mwisho ni lini kuonana na Bilionea? Katika hii dunia usibishe kila jambo linawezekana na tabia kubadilika ni kitu kidogo sana. Kabla haujaanza kukashfu mtoa taarifa ungejiongeza kupata taarifa zaidi. Kama Mendez alikuwa rafiki yako na wewe unatabia hizi sioni cha ajabu Mendez kuua.
 
Pesa watamla sana

Lazima atowe pesa,la sivyo watampeleka jela

Ila hao ndugu toka handeni msiwachukulie poa .......

Ova
 
Sema nini mwamba awape mzigo mrefu familia na wao wakubali kama fidia mambo yaishe tu.
Ukishampeleka jela ndio marehemu atarudi? By the way kwa li-nchi hili la u-ovyoovyo wakikaza fuvu hawatapata haki yoyote. Hata ningekua mimi ningepambana yaishe nisiende jela nani anataka kwenda jela.
Watabaki kushindana kwenye ndumba tu wakikaza fuvu mambo ya mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…