DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Hii dunia unapata wapi ujasiri wa kusema unamjua mtu?
 
Kaka mtu kubadilika ni jambo dogo sanaaa. Binadamu tunaficha mengi sana. Usimuwekee mtu dhamana ya kutobadilika tabia, tena mtu ambae hujakutana nae years.
 
Vijana wa lobilo utawajua tu
 
Hahahahahaha!! Umenichekesha
 
Sawa kakosea history yake vipi na Hilo tukio kakosea ?
 
Huwajui wabondei wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…