DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hakuna lolote, sheria za watoto wa kike hizo anybody can study it.

Shida ni nyie mawakili wasomi uchwara mnaowalaghai watu kwamba sheria ni kwa ajili ya wateule wa kimungu.

Mna usomi gani HKL hizo ujinga mtupu!

Ati wakili msomi! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acheni vijana wapate fursa na sio kujitia tia usomi feki na kukumbatia taaluma kwa ajili ya mafisadi wachache!
 
Mkuu pale Kuna nondo kwa usomi wa kibongo kudisco kawaida maana hata izo degree za first class zinapatikana kwa kuibia ibia assignments wala kuhonga kupewa mpaka course work sasa ukifika pale lazima uone cha moto.
 
Kuna nini pale cha kutisha? CIVIL PROCEDURE? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuchora affidavit na plaint!!?? You don't need to be smart to do that!

Ni ujinga ujinga tu wa mafisadi wachache waliokumbatia taaluma kama mali binafsi ya kampuni!
 
Una wivu kijana na taalamu za watu.

Ni ujinga wako kusoma course za kidwanzi.

NB: sheria ndio taalamu pekee duniani, unapigiwa saluti & kuitwa mheshimiwa. Umeelewa ngumbaru? [emoji16]
 
Una wivu kijana na taalamu za watu.

Ni ujinga wako kusoma course za kidwanzi.

NB: sheria ndio taalamu pekee duniani, unapigiwa saluti & kuitwa mheshimiwa. Umeelewa ngumbaru? [emoji16]
Na wewe unaamini uliteuliwa na Mungu kusoma civil procedure? [emoji1787][emoji1787]
 
Aliyeanzisha huu utopolo kwamba mtu asiajiriwe hadi apitie LST sijui aliwaza nini.
Maana tukisema law ni kazi sensitive kuliko udaktari na uinjinia inakuwa ni uongo.
 
Kwa aliesoma UDSM hawezi shangazwa na huu ukiritimba wao. ..it's normal na mwalimu anafurahia kuona anachofundisha watu hawaelewi na anajiita prof or Dr.my understanding ni kua unapofundisha na watu wakafeli means your teaching methodology is lacking ilahawa ndio kwanza wanatukuzwa.
 
-punguza hasira mkuu, Law School ukidisco unaruhusiwa kurudia
-kuwa Wakili sio mchezo, ndiyo maana Wanaitana Wasomi,
 
Mkuu kitaaluma Mimi sio mwanasheria lakini umeshusha nondo hatari umeshuka vizuri sana yaani wahusika wakiipata hii itawasaidia sana. Umetoa vikwazo na usuluhishi ni wachache sana wanafanye hivyo big up bro.
 
-ndiyo unahitaji kuwa smart sana kwenye kuandaa Plaint, bila kuwa smart kuandaa plaint Utapigwa PO hadi utamani uache uwakili.
 
Umewahi kushinda kesi zipi mkuu?
 
-punguza hasira mkuu, Law School ukidisco unaruhusiwa kurudia
-kuwa Wakili sio mchezo, ndiyo maana Wanaitana Wasomi,
Sheria ni za wasichana Kama TULIA ACKSON.

Haina usomi wowote na hasa ukizingatia ni wahitimu wa HKL.

Choka mbaya, intellectually and economically.

Mimi usinifananishe na hizo takataka!

Mimi ni mtu tofauti kabisa, don't mistake me with some unwarranted rubbish!
 
-huyo kasoma UINGEREZA hao huwa wanafeli sana kwa sababu wengi wao hawazijui Sheria za tanzania vizuri, but only legal principles za common law.
Naomba nitue ushuhuda Nina Dada yangu alisomea uhasibu Uingereza akarudi. CPA wakamzingua kilichofata akapiga ACCA na hivi Sasa kafungua kampuni ya auditing na mwenzake.
 
Naomba nitue ushuhuda Nina Dada yangu alisomea uhasibu Uingereza akarudi. CPA wakamzingua kilichofata akapiga ACCA na hivi Sasa kafungua kampuni ya auditing na mwenzake.
Bongo kila jambo linawekewa magumashi.

Kuna mafisadi yameatamia taaluma kama mali ya kampuni.

Huko kwenye CPA ndio uchafu mtupu. Selfish individuals with some ulterior malicious motives.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…