Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu acha hizo, chini ya yule mwamba kwani TISS nao walikuwa ni wasafi?This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?
TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Hata 5M unazipata kwa order jinsi unavyotaka uwezo wake.Macbook Pro 16" Laptop- Apple bei ya mtandaoni kwa sasa ni TZS 8,058,197.00. Kwenye orodha ya TBC ni TZS12 milioni na ushee! Na hiyo bei ya mwaka jana.
Kuna mtu alitaka kuwakata makofi kwa uchawa waoMkuu acha hizo, chini ya yule mwamba kwani TISS nao walikuwa ni wasafi?
Huko kwao tu kuna madudu ya mitambo ya wa Israeli.
Simfagilii sana Ryoba lakini kujiuzulu ameonyesha ukomavu.
Nani anaachia paja la kuku kwa hiari.
More over hata uchunguzi utafanyike kwa uhuru.
Na hizi data jamaa amezimwaga ziko detailed mno kuwa za kuchafua mtu.
Nashukuru.Mkuu wa Kitengo cha Satellite ndani ya TBC. Anasimamia urushaji wa matangazo na vifaa vyake kwa njia ya Satelite.
jibu sahihi ni kuwa alikuwa anawaamini watendaji wake kupita kiasi. kuna taarifa kuwa huyo Mkurugenzi wa Manunuzi yeye ndie alimleta alipoteuliwa.
You do make sense pia, maana kila siku wanafanya manunuzi lakini hakuna ubora katika production yao na vipindi havina mvuto.
kizo?Kwa hiyo Ryoba kajiuzulu rasmi au?
Kapiga pentagone yaani penyewe kiukweli kama ni ukweli basi ni zaidi ya za ndani hizi ni za kumoyoMkuu umetuletea za ndaaaniii sana. Hawatakutimua kazi kweli?
Kitambo sana Mkuu.Duuuh
Wizi wa mali za walipa kodi unakera sana. Wote wawajibishweBAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
- Wasaidizi hao kwa uchache ni Mkurugenzi wa Manunuzi na Mkuu wa Sattelite.
- Tayari baadhi yao wamekuwa wakihojiwa na TAKUKURU.
- Makampuni Zaidi ya matatu yamekuwa yakihusika katika kupata zabuni bila kufuata
Nimekuelewa sana kuhusu "usafi" wa Dr. Ryoba kwenye sakata hili; ila ningependa kusisitiza kuwa hawa WASOMI wanaochukuliwa na kuibuliwa kutoka huko mavyuoni, hawajahi kuwa good administrators BALI ni good academicians na hivyo kuwachanganya wanaowapa hizo nafasi kwa kudhani kuwa MSOMI mzuri anaweza kuwa mtawala (administrator) au msimamizi (manager/supervisor) mzuri au kiongozi (leader) mzuri! Hapana! Utawala, Usimamizi na Uongozi ni SAYANSI na wahusika lazima wasomee mambo hayo jamani! Na wengine ni VIPAJI tu kutoka kwa Mungu.BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
Hakika Mkuu ,siku hizi mara chache Sana kuingia JFKitambo sana Mkuu.
Umenena ya kweli kabisa. Wanakuwa hawajui mbinu za watu wa chini yao maana hawajawahi kaa katika utendaji wa kawaida. Na wanakuwa hawana muda kusocialize na watu wa chini ambao wanaweza kuwapa baadhi ya taarifa muhimu na wao wakazifanyia kazi.Nimekuelewa sana kuhusu "usafi" wa Dr. Ryoba kwenye sakata hili; ila ningependa kusisitiza kuwa hawa WASOMI wanaochukuliwa na kuibuliwa kutoka huko mavyuoni, hawajahi kuwa good administrators BALI ni good academicians na hivyo kuwachanganya wanaowapa hizo nafasi kwa kudhani kuwa MSOMI mzuri anaweza kuwa mtawala (administrator) au msimamizi (manager/supervisor) mzuri au kiongozi (leader) mzuri! Hapana! Utawala, Usimamizi na Uongozi ni SAYANSI na wahusika lazima wasomee mambo hayo jamani! Na wengine ni VIPAJI tu kutoka kwa Mungu.
Watu wetu hawatosheki na mishahara yao aisee.Manniner ,yani upigaji kila kona.