Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu acha hizo, chini ya yule mwamba kwani TISS nao walikuwa ni wasafi?This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?
TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Huko kwao tu kuna madudu ya mitambo ya wa Israeli.
Simfagilii sana Ryoba lakini kujiuzulu ameonyesha ukomavu.
Nani anaachia paja la kuku kwa hiari.
More over hata uchunguzi utafanyike kwa uhuru.
Na hizi data jamaa amezimwaga ziko detailed mno kuwa za kuchafua mtu.