Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Ukabila kisiasa haupaliliwi na CCM bali chama cha CHADEMA ndicho kinacholazimisha kuanzisha ugomvi wa ukabila kutokana na matamshi na matendo ya viongozi wao, ambapo ushahidi wa hili ni Matamshi ya Tundu Lusu kwa kumsingizia Mhe. Rais Magufuli eti anafanya uteuzi kwa upendeleo wa kikabila, jambo ambalo halina ukweli wowote. Hebu tuchambue ukabila wa viongozi wa Chadema; Mwenyeti Mbowe ni mchaga, Lowasa ni mchaga, Sumaye ni mchaga, Halima Mdee ni mchaga, Wabunge viti maalum asilimia zaidi ya 90% ni wachaga, Viongozi na watumishi wa TRA zaidi ya asilimia 95% ni wachaga; Majority ya Maprofesa na Doctors (Phd) holders vyuoni na Serilalini ni wachaga; Majority ya RDDs, DDDs, Mameneja na Watendaji wa vyeo vya juu katika ma banks na Serikalini ni wachaga; Majority ya Walimu wakuu Shuleni na Vyuoni nchi ni wachaga; Matajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Reading between lines is the only way to understand the meaning beneath expression!

Will find ample time to deeply engage with you in ideological debate.

Looking forward to be your stubborn student.
 
Pascal, umedanganya, nimekaa na wasukuma kwa muda na nimeamini wasukuma wanazo sifa hizo zote unazozikataa, pamoja na nyingine moja ambayo hujaitaja, na hii nadhani wanaongoza Tanzania; Ushirikina. Naamini unajua vizuri.
SIYO KWELI KAFANYE UTAFTI WAKO UPYA
 
Mchaga wapi?
Mhaya wapi?
Mnyakyusa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda zamani sio saiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa mmasai, sumaye mmeru, mdee mpare, wabunge wa viti maalumu inatokana na mikoa ambayo chama kimeongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kanda itakuwa kanda ya ziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chalii ni vepe!?
Hiki kilalulalu si cha Nchi hii!
 
Kwani walikuambiaga usukumani hakuna wanawake cjui ni kabila gani wewe unayeonesha chuki dhidi ya kabila la wastaarabu,tumekuwa tukichagua wabunge makabila maeneo ya usukumani tuwape nn? Nyie kizazi cha nyoka magengeza!!!!
 
Je, presidential appointments zinafanyika kwa mtindo wa simple random sampling au unproportional stratified random sampling?
 
Kweli Ubapuz Wenu Upo Kwa Wanawake, Maana Ninyi Mnataka Weupe Tu. Dada Zetu Wanajichubua Ili Kutega Wanaume Wa Kisukuma Et Kwakua Wanajua Kuhonga. Wasukuma Nao Ni Shida! Kuna Usemi Wa Madem Hapa Town " Ujanja Kupata Mwanaume Wa Kisukuma". Kwenye Ukabila Sijaona, Wasukuma Wapo Poa, Wastaarabu, Af Wengi Co Wabishi Sema Wananiudh Ukiwa Miongon Mwao, Hakuna Lugha Ya Kiswahili Tena Hapo. Ni Wachapa Kazi, Ndo Maana Kunausemi Usemao " Mzigo Mzito Mpe Msukuma", Tatizo Ni Wadhaifu Mno Kwa Kina Mama Tu. Hahaha Natania Jaman
 
Hahaa...weeee....Wanaume wakisukuma watemi sana...vijana wanasema wana-ufather sana.....nafikir wengi ni jinsi utamaduni wao ulivyo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, presidential appointments zinafanyika kwa mtindo wa simple random sampling au unproportional stratified random sampling?
All probability sampling procedures applies!
Wanaolalamika ukabila hapa ndo walokuwa wamejazana TRA. BOT, TANAPA, TPA nk.
Yaani kwao lami hadi getini na kiwanja cha ndege international na Huduma walijisevia tangu enzi. Leo lake zone kupata raisi inalalamikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana. umenena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…