Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Mimi ni Mchagga wa Kirua Vunjo Moshi.
P,
 
Mimi ni Mchagga wa Kirua Vunjo Moshi.
P,



Mkuu pascal, Sasa si umeona nimejua !!!, shida ipo wapi??, mtu lazima upende na kujenga kwenu hata ikibidi ujenge li-barabara na li-eapoti, kwenu ni kwenu bwana!!, na wahenga walisema mkataa kwao ni mtumwa, wewe hujakataa kwenu kwa kusema wazi kwamba ni Mchaga wa vunjo, safi sana. Maendeleo hayana kabila wala chama. 🤣🤣
 
P unachosema hapa unakijua mwenyewe
 
Tatizo lenu mmeyaona maisha baada ya REA. Matongotongo bado mengi machoni ila mnajiona mnaona mbali
 
Hapo kwenye Uchapa kazi ndio naelewa kwa nini Kanda ziwa bado iko nyuma sana,kwanini mtu analazimisha watu kupata fedha kwa kutumia nguvu tu,Kuchapa kazi na kuwa na maarifa ni vitu viwili tofauti..........kuzunguka na ng'ombe nchi nzima na kuharibu misitu sio uchapakazi aiseee ha ha ha.na kuna huyu jamaa wa DAR kila kukicha yeye anachapa kazi lakini ni kazi ambzo hazina tija kwa maendeleo.Sasa nimekuelewa mkuu
 
Mwanza ndiyo jiji la pili kwa maendeleo nchini Tanzania
 
Hukutakiwa msukuma wewe kuja na haya. Mimi nimeshuhudia mengi kufa kwa shirecu nyanza hadi halmashauri za kisukuma. Nilifukuzwa shinyanga shirecu sikuwa ng'wanambate wakaikwiba wakaiua. Hapohapo rafiki yangu aliyeajiriwa halmashauri ya shinyanga akafukuzwa kwa kejeli "akatafute kazi kwao Bukoba ". Inaumiza ukimwona jiwe akiverify makabila kwa kuongea kiliugha ole wako akute ni wabaya wa northern.hiiiiiiiii watakoma! Waulize wafanyabiaashara Dar wakunong'ozee operation tokomeza northerners. Maagizo yako TISS walio TRA
 
Basi mangoja miaka hii mna bahati kwa kuwa katika watz milioni moja wasomi (sio statistic sahihi), wasukuma wasomi Ni laki Tisa na tisini na tano kiasi mkubwa kila akichuja sampuli anakutana na wasukuma tu.
Raisi hateui viongozi kwa kuangalia dini au kabila. raisi anateua viongozi kwa kuzingatia sifa na uwezo wa kazi
 
karibu
P
 
Kils kabila lina ikabila tu isipokuwa labda watu wa pwani

Nimezaliwa isukumani na nimekulia usukumani japo wasukuma hawana sana mambo ya kikabila sana tofauti na maeneo mengne zaidi huwa yanapandikizwa na viongozi wa juu

mfano unaweza gombea ubunge ukashangaa wanaeneza propaganda kwamba wewe ni kabila fulani so wasikupigie kura
 
Wasukuma wana roho mbaya sana najuta kuzaliwa Msukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Facts Kuhusu Dominant Tribes. Wasukuma The Biggest Tribe, The Best, The Kindest!
Pamoja na kuwepo kwa ukabila mzuri na ukabila mbaya, kuna kitu kinaitwa dorminabt tribes, hii ni fact, hatuwezi kuipuuzia, Wasukuma ndilo kabila kubwa kuliko makabila yote nchini Tanzania, na wamesambaa katika mikoa mingi kuliko kabila jingine lolote, na ukiwemo Mkoa mmoja tuu Tanzania nzima, ambao mkoa wote ni kabila moja tuu, Mkoa wa Shinyanga, hakuna mkoa mwingine wowote ambao ni mkoa mzima una watu wa kabila moja!.

Sababu ya Wasukuma Kuwa Wengi Zaidi Kuliko Makabila Yote.
Wingi wa watu unatokana na kitu kinachoitwa population growth, Wasukuma ndio wanaoongoza kwa highest population growth, sisi nyumbani kwetu kwa mama yangu tumezaliwa 8!, hivyo mwanamke wa Kisukuma kuzaa watoto 10-12 its normal, na hapa mama hakuwa peke yake!. Sababu ya uwepo wa chakula bora, kingi na cha kutosha, ndio maana unaiona miili ya Wasukuma sio miili ya njaa njaa, wanaume wa Kisukuma wana nguvu sana za ku service zaidi ya mwanamke mmoja, elimu duni maeneo mengi, kuoa wanawake wengi, kuzaa watoto wengi bado ni sifa kwa Wasukuma, mimi mwenyewe ninao watoto 8 na sio mwisho!, na kufuatia kuwepo kwa lishe bora, rate ya procreation iko juu, watoto wanazaliwa sana, infant mortality rate iko chini, watoto hawa hawafi, deathrate Usukumani iko low, na kuishi maisha marefu kutokana na kula vyakula vya asili, kunafanya Wasukuma kuishi maisha marefu sana. Ingefanywa sensa ya wazee Tanzania, tungekuta ni Wasukuma pia ndio wanaoongoza kwa maisha marefu!
P
 


Tanzania hakuna majority tribes . Wasukuma ndiyo wengi zaidi lakini ni 16% tu ya Watanzania.


Facts Kuhusu Dominant Tribes. Wasukuma The Biggest Tribe, The Best, The Kindest!
Wasukuma ndilo kabila kubwa kuliko makabila yote nchini Tanzania, na wamesambaa katika mikoa mingi kuliko kabila jingine lolote,

Hapo juu sio kweli Wachagga wamesambaa kuliko wasukuma kwasababu ya kuwa wengi ni wafanyabiashara. Nenda mikoa ya Mbeya, Iringa, Lindi utakuta wachagga wengi kuliko wasukuma. wasukuma wengi wanaenda mikoani kikazi zaidi. Ingawa kwa wingi wasukuma wanaongoza halafu wanyamwezi na wachagga wanafuata. Kiuchumi kwa familia wachaga namba moja kwa mbali wanafuata na groups nyingine wapare wako wachache lakini kwenye level ya familia wanamaendeleo pengine kuzidi hata wachagga ingawa hawaongelewi sana. Maendeleo ya upareni na uchagani ni sawa. lakini kiuchumi vilevile group ya kwanza ni wahamiaji hasa kutoka India miaka ya 1950's wameshikilia viwanda na biashara nyingi, wapemba ambao ni watu wa kisiwa cha pemba nao wapo juu sana kiuchumi.
 
Tanzania hakuna majority tribes . Wasukuma ndiyo wengi zaidi lakini ni 16% tu ya Watanzania.
Tanzania tuna more than 120 tribes, some are majority, some are dominant tribes na some ni minority. The majority tribes ambao ni dominant tribes wakiongozwa na Wasukuma, Wahaya, Wanyakyusa, na tuna minority tribes wakiongozwa na Wahadzabe, Wataturu, Wabarbaig na Wasandawe.
P
 
Mkuu Paskali una-instigate uhutu na ututsi katika nchi hii. Please stop this. Haisaidii chochote, watanzania hatutakubali kuona watu wanajaribu kujikuza over others. Take it from me, hatutakuwa tayari kabila moja lijitukuze at the expense ya makabila mengine hapa Tanzania. Kabila la wasonjo ni dogo lakini likiona kuna ndivyo sivyo kwa minajili ya ukabila litafight hadi mwisho. Be composed when writing to mass.
 
ze344xd
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pascal,

Ni 16% na ukiangalia trend ya sensa inapungua kila mwaka. Wanaposemaga majority population huwezi kuchukulia 16% kama ni majority!. Hata kama ni 20% ambayo sivyo huwezi kusema ni majority unaweza kusema wanaongoza lakini si majority!. Lazima uwe na kitu kinaitwa benchmark ni sawa na kusema umepata majority ya kura kwa 16% au 20%. 20% inaonyesha Tanzania hakuna majority tribe yaani kabila moja haliwezi kusema sisi tutashinda kwasababu tuko wengi au tutafanya maamuzi fulani kwasababu tuko wengi, au wanashinda kwasababau wako wengi !.

Vilevile kitu kingine ambacho hujuzingatia ni kwamba Watanzania tunaoana sana makabila tofauti na hii inafanya makabila yanakuwa hayana nguvu mfano unaweza ukawa na baba msukuma mama mgogo kama umekulia ugogoni huwezi kusema huyu mtu ambaye tunamuita msukuma ana tabia zozote za kisukuma. Mimi binafsi nime mix na siwezi kufanya maanmuzi kwa kupendelea kabila la baba wakati baba ni nusu yangu tu! jina pekee halitoshi kwa mimi kufanya maamuzi hata kikabila sijui kwa upande wowote. Ukiniingiza mtu kama mimi kwenye kabila moja unakosema sio mkabila hivyo!. Vilevile unavyosema sisi wasukuma tumezaliwa 8 unaongelea wasukuma waliooa uskumani tu au? Maana Msukuma kama kaona uchagani wanawake wana mila za kupenda elimu inawezekana kabisa wakawa wasukuma watoto lakini kwasababu Mama alienda shule akashidwa kuwa na watoto 8. Au Msukuma akiolewa na wapwani ataenda na utamaduni wao sio wa kisukuma. Hivyo tunakosea sana tukijaribu kujifananisha ya nchi kama Kenya . Kenya 90% ya wakikuyu wameoa wakikuyu! lakini Tanzania inawezekama hao 20% unaosema 8% wameoa makabila mengine ukabaki na 10%-13% ambao wameoa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…