Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Chevuuuu!!!!
 
Kachunge ng'ombe huko kima ww!!
 
Mwendazake angekaa miaka kumi wasukuma wangekua matajiri sana hata "mikono" ya sweta mmgeenda kuitoa ugaibuni !!??? Wachawi na wafuga fisi nyie
 
Wasukuma ni wengi wako milioni 200 , waha wako milioni 100 mkiungana mnakua milioni 300 nchi mnachukua mchana kweupe kwa sanduku la kura
 
Kwaiyo unataka kusema wasukuma ni wengi kuliko watu wote nchinzima embu fikiria makabila 120 wasukuma tuu ndo wawe nusu ya idadi ya haya kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa jamaaa amegonga [emoji481][emoji481]
 
Kha..mwe mwe..mweeee....eeeeh.....iiiiiiiìh!.
Mmeanza eeh.
 
Tatizo hata history hamfatilii..wasukuma wako mikoa 3...nieleze kuna kabila gan limetawanyika mikoa mi3? Ofcourse idadi kubwa iko huko..ila kjsema majority ni ccm sidhani
 
Umeongea point nzuri sana, hizi si nyakati za ukabila na kamwe mtu asihukumiwe kwa kabila lake.

Kila mtu ana haki sawa bila kujali katoka kanda ipi? Haya mambo tuache mara moja hayana afya kwa jamii yetu kabisa!
 
Ubaguzi wa kikabila haufai na kiongozi yeyote anayeanzisha ubaguzi hata kwenye teuzi anaondoka kabla ya muda, Watanzania tuangaliane kwa utanzania na sio ukabila
🀣🀣🀣🀣
 
Mikoa wanatoishi wasukuma wengi Mwanza, Simjui, Shinyanga, Geita , Tabora mikoa hii mtano ni kabila moja , ukiacha wasukuma wa morogoro ifakara huko, katavi huko, mbeya chunya ni ukweli kura hasa ushindi ya urais huamuliwa kanda ya ziwa hilo halipingiki lakini haina maana tuunge mkono ukabila hapana hapana
 
Uliishia darasa la ngapi?
 
Kwaiyo unataka kusema wasukuma ni wengi kuliko watu wote nchinzima embu fikiria makabila 120 wasukuma tuu ndo wawe nusu ya idadi ya haya kweli
Nisaidie kumpa pole,mana anaonekana kaandika kama hajaenda shule kabisa. Kwanini asingefanya utafiti kwanza?
Wasukuma wanakadiriwa kuwa zaidi ya 6ml lakini walioenda shule hata 10% hawafiki.

Kanda ya ziwa wahaya ni wachache kuliko nyie lakini wengi wameenda shule.
 
Atleast Mama Samia anajua kubalance hata teuzi anachukua bara anachukua visiwani, majina ya waislamu yanaonekana kwenye teuzi na majina ya wakristo yapo vile vile hatutaki mambo ya majina ya kanda moja ndio yanatokea kila teuzi hapana hata mkiwa wengi lazima kasungura kagawiwe kalivo kwa watu wote kila mmoja apate
 
The hard truth
Mwanza
Mara
Geita
Simuwi
Shinyanga
wakipiga kura kwa wingi wao wanaamua Rais.
Numbers don't lie anayehitaji kushika nchi mikoa tajwa hapo juu lazima iwe kipaumbele chake.
ccm 2015 n' 2020 hawakuwa wajinga kufungia kampeni zao mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…