Mkuu kamili ,1. Je wasukuma ni wengi kuliko watanzania wa makabila mengine kwa ujumla?
2. Sisi tulio kwenye ground tunaona picha ingine, but it is very scary.
Wewe hata hujielewi kwa utafiti gani? Unatuletea story za miaka ya 90?na Mungu naye alivyoona hivyo kawanyima elimu, sasa wamebaki kutumikishwa tu na vikabila vidogo. elimu kitu kikubwa sana, kakabila kama wachaga au wahaya, ni wachache lakini ndio wamejaa maofisini, wewe fanya sarakasi zako zote za ukabila kujitutumua ati msukuma, ukifika ofisini utapiga goti tu na lazima ubanwe mbupu.
Wa
Waislam ni 60% ,mko tayari kila teuzi 10 , 6 wawe waislam. ???
Mkitoka kwenye ukabila mtakwenda kwenye udini ili tu chama kishike hatamu kwa katiba inayotoa mianya ya upendeleo.
Ni kweli ia kna kiongozi mmoja , si msukuma , amelitumia jina la wasukuma kukandamiza wengine kimkakati.Ukiacha story za mitandaoni...mtu aliyekaa na wasukuma atakuambia ni watu wakarimu na wenye upendo mkubwa sana. The truth be told
aliyekwambia wapo 60% amekudanganya sana. ukiondoa zanzibar, wao ni 45 au 40, therest ni wapagani wa kisukuma na wagalatia.
You nailed it! Mtu ambae hayupo exposed kwa wasukuma atachukua tabia za yule jamaa ndo akajua ni tabia za wasukuma wote. Wakati yule bwana hata sio msukuma..mrundi yuleNi kweli ia kna kiongozi mmoja , si msukuma , amelitumia jina la wasukuma kukandamiza wengine kimkakati.
Ila Mungu amemuona!
Mungu naye alijua sana, aliwapa uwingi akawanyima akili.Mkuu kamili ,
- Kwanza numbers don't lie. Katika mikoa yote Tanzania nzima hakuna mkoa wowote ambao ni mkoa mzima una kabila moja isipokuwa mikoa ya Shinyanga na Simiyu. mikoa mingine yoyote kuna makabila zaidi ya moja. Wanawake wa Kisukuma wana very high fetility kuzaa watoto 8 ni kawaida na kuna wengine wamezaa hadi watoto 15, na nyumba nyingi za Wasukuma mke sio mmoja, japo kisasa wa kanisani ni mmoja. Ukiondoa mikoa hiyo miwili, ya Shinyanga na Simiyu ambayo ni 100% Sukuma, kuna Mwanza 90% ni Sukuma, kuna 10% ya Wakerewe wa visiwa vya Ukerewe na Wakara wa visiwa vya Ukara. Geita 95% ni Sukuma, Katavi 70%. Tabora 60%. Hayo ni maeneo ya natural habitat yao, tukihesabu na kule walikohamia wafugaji wa Kisukuma, you will be surprised.
- Don't be scared na wingi wa Wasukuma, they are harmless and are not too ambitious kama makabila mengine. They are humble and down to earth
- P
[emoji23][emoji23][emoji23]bitter truthMungu naye alijua sana, aliwapa uwingi akawanyima akili.
Endeleeni kujifariji mapimbi sana nyinyi![emoji23][emoji23][emoji23]bitter truth
Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Mkuu MTK , angalia tuu tarehe ya bandiko ujue watu huu udini, ukanda na ukabila, watu tumeanza kuukemea lini.Sukumagang ni ITIKADI iliyoasisiwa na JPM kwa manufaa ya wasukuma ukiwemo wewe Paskali Njalah Mayala, na kwa faida yako Sukumagang
Wasukuma kama hilo ni tatizo fanyeni kazi ya kulifuta maana hata wewe hujawahi kulishutumu huko nyuma!
Mkuu CARDLESS , kuna Wasukuma na 'Wasukuma'!, sio kila anayeongea Kisukuma ni Msukuma wengine ni 'Wasukuma', pia sio kila anayejiita Msukuma ni Msukuma kweli, wengine ni 'Wasukuma'!.Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.
MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?
KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.
KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
Wanabodi,
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali[/SIZE]
Usiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!
Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.
Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
Paskali una mbwembwe aisee...sijapata onaUsiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
P
Wameshaingiliwa kinyume.Quote my work schedule Mpaka pale lile jiwe halitabaki mwanawane.Mseveni,Kazembelembe aka KagumeNi lini mmeanza kuwa wengi?
Kuanzia mwaka jana ndiyo mmeanza kuwa wengi na wenye uwezo?
Kwahiyo hizo sifa na uwezo wanazo watu wa dini na maeneo tulani tu kwingineko hakuna?Raisi hateui viongozi kwa kuangalia dini au kabila. raisi anateua viongozi kwa kuzingatia sifa na uwezo wa kazi
Mkabila namba moja Tanzania ni Msukuma.Siku mlogwe mumpe mchaga nchi Kwa sababu CCM hamchelewi kuchemka Ndio mtajua Tanzania kuna ukabila ni vile Tu hauruhisiwi kuongelewa majukwaani. Hakuna mtu Mkabila na mbinafsi wa wazi wazi kama Mchaga Tanzania
Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Laiti ingefanywa sensa ya wanaume wa kabila gani wanaongoza kwa kuoa wanawake Wachagga, ungeshangaa!. Tuwachukie Wachagga for what?. Kati ya makabila 120 ya Tanzania, ni kweli kuna makabila yana chuki na makabila mengine hivyo wana ukabila m-baya, but very fortunately Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!Waskuma mnachuki na wachaga sana mmeirithi Kwa mwendazake kwendeni huko pendeni ng'ombe washamba nyie