Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

kama mtu ana watoto 10 na wote wamesoma vizuri na wana uwezo wa kuongoza, je mtu huyu akiwa mtawala kuna ubaya wowote watoto hawa kuwapa ubunge na kuwateua wote kuwa mawaziri?. Ukijibu hili basi utajua kuwa uongozi si uwezo pekee, uongozi ni pamoja na diversity , yaani timu yako ifanane na unaowaongoza kwa kuzingatia diversity yao!
 
Wewe utakua mchaga tu, tatizo kwenye hii awamu ya 5, JPM amewapiga teke sana watu wa kaskazini na hapo huyu Tundu kawashwa tu kama remote kwa manufaa ya wa kaskazini.Ila kwa ngosha kauvaa mkenge lazima anyee ndoo.watu wameshasahau enzi za TRA ilivokua imejaza wa kaskazini na Bima ilivojaza wa Mbeya..wa kanda ya ziwa hatukulalamika zamu yetu imekuja kelele nyingiiii, nyanoko !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A very wise commentary, big up!
 
Now you are talking my brother, kuna kabila limekamatwa ndio hizi kelele zote.baba JPM piga kazi sie tunakuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili sio swali, maana mimi hata hunijui
mimi sijakuambia kuwa ninakujua vilivyo hapana,ila pia si kwamba sikujui kihivyo-maana ninakujua kupitia comments zako humu Jf ndio.Nawe pia najua unamjua makonda kupitia shughuli zake ndio maana nimekuuliza uniambie kama Makonda una uwezo na Sifa zaidi yako??
 
Kupiga teke wa kaskazini ndio sifa ya uongozi bora, eti? Kwa hiyo kwa uelewa wako Tanzania ina wa kaskazini (ambao wanapaswa "kupigwa teke") na nyie wa kanda ya ziwa "kanda teule". Wengine hatupo? Nikipinga ubaguzi wenu basi by default ni "wa kaskazini" au mchaga kama ulivyosema. Wengine wote mmeshawapuuza, hawapo. Mpo nyie na wa kaskazini mnaoshindana nao, ni zamu yenu kula, si ndiyo? Basi sawa!
 
Reactions: SDG
Umesahau na nearly 20% ya mkoa wa Singida ni wasukuma pia..kuna kabila awamu hii limepigwa na ndio kelele hizi zote.hapa kazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya wilaya Kyela
Hao wasukuma waiteke wilaya ya kyela watakaa wapi na hiyo mivugo yao?? unazijua vizuri wilaya za Kyela na Rungwe au unaandika tu ilimradi?Wakinga wamefanikiwa kujipenyeza huko kwa biashara ya maduka na si kuambatana na mifugo zimejaa watu ni hamna mfano.
 
Ni ngumu sana kuujua udhaifu na ubora wako. Watu wengine wanaweza kukuchambua vizuri zaidi.

Nimeishi usukumani kwa zaidi ya miaka 15, na kwa sababu mimi siyo msukuma, naweza kuwaona vizuri sana kuliko wanavyojiona wenyewe.

Wasukuma ni kabila kubwa na wametapakaa maeneo mengi ya kanda ya ziwa, na tabiq zao pia zinatofautiana. Tabia za wasukuma wa Magu siyo sawa na za wale wa Bariadi (Wanyantuzu) wala wale wa Geita. Sifa nyingi ulizoziandika hapo umezitoa kichwani badala ya uhalisia.

Kwa ujumla tuseme tu, Taifa ni letu sote, kupendelea kabila, ukanda, ndugu zako au dini yako ni kosa kubwa kwa kiongozi. Viongozi waongozwe kwa hekima hata kama hulka zao na mapenzi yao ni kuutumikia upendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SDG
I
Ilikuwa zamani kamanda wangu,kwa sasa wamesoma vizuri tu na wanaendelea kusoma sana tu baada ya kugundua ufugaji sio dili,wape miaka mingine 10 ukizidisha na wingi wao utaniambia.
 
Hata utende jambo gani jema huwezi kuwaridhisha walimwengu wao watabaki kua Walimwengu. Hapa ni kua wewe kama wewe na Mungu wako tu full stop
 
Reactions: nao
Nimeipenda style yako ya kijitetea .
Haaa haaa we mjanja kweli
 
wapo noisy and boisterous.
wanatumia nguvu nyingi sana kuongea na wanapenda sana kuongea kisukuma hata kama mahali walipo kuna mchanganyiko wa makabila mengine kifupi mi nawaona ni primitive sana.
 
Reactions: SDG
Umemaliza nafasi zote za teuzi au nyie ni wale wale..
Wait nikuletee list ya ngosha wenu
 
Reactions: SDG

Kula tani mwanangu, hapa nyeupe umeita nyeupe. Na sio mtu akisema lililodhahiri akapimwe mkojo.
 
Sina Uhakika kwenye hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…