Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

Ndiyo,

Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
Jpm alikuwa na uwezo Gani we kima. Katuhalibia nchi yetu five years karundika graduates mitaani bila ajira yoyote kitu ambacho kinampa wakati mgumu mama kuabsorb hili group kubwa lilotelekekezwa na jpm. Kila sehemu ilikuwa hovyo. Private sector ilikuwa inapumulia machine na ndo ilikuwa inaajiri graduates kibao ambao walikuwa hawataki kwenda serikalini. Seriki nako ilikuwa ni issue mpaka umjue mtu ndo angalau upate ajira ndogo zilizokuwepo. Pumbavu kabisa mtoa mada.
 
Katto Omugakorongo omulalo aachwe apumzike mtoto huyu wa kufikia ambaye alitaka nchi amuachie Mdogo wake kikabila Ndailos ambaye Jina lake likafutwa aitwe Kakurwa mtoto wa Mama Anord wanapouza nanasi Kama unaelekea ikimba ilipo BURIGI 🙏

Britanicca
 
Lissu ndio angetakiwa azaliwe Ulaya au Marekani, hapa anakosa watu wa aina yake kabisa.
Mtu mwenyewe ameshawakimbia..amesepa zake kwenda ughaibuni nyie bado mnamsema tu mpaka leo...hahahha.. amewakuta watanzania wa leo Wana akili kuliko wale aliowaacha..
 
Mkuu, umeandika machache sana kati ya mengi aliyo fanya.

Angalia Barabara kuanzia kimara mpaka mail Moja pia utajua Jembe alitaka Tanzania ya namnagani.

Tatizo kila Barbara mnasema ya JPM, wanafiki beans.
 
Ndiyo,

Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
TZ ni nchi ya ajabu na watu wake hawaeleweki sababu ya kulalamika sana, ndo maana lugha yetu ni kiswahili. Kuna mtu mmoja hapa JF aliwahi kusema kiswahili ni lugha ya kimbea sana.
 
Ndiyo,

Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
Sawa alipenda mabadiliko ila alikuwa anafanya kwa kutulaghai uwongo mwingi ili apate popularity.

Acha waseme ili nyongo iwaishe hawakuwa na pakusemea kipindi cha bwana mzee yule..

Mwendazake alikuwa hataki kuambiwa chochote wala ushauri wwte hii nao haikuwa sawa hasa kwa nchi km Tanzania bado mno..
 
Ilikuwaje tukashindwa ng'amua hatari kama hii.
Si kwa ubaya, lakini kama ni kweli basi Kuna mageuzi makubwa yanahitajika. Japo ni Mtanzania mwenzetu. Ishu ya kuzaliwa akiwa si raia, tena katika umri wa kujielewa ni suala zito kidogo. Hasa katika nafasi iliyo nyeti kabisa kwa katiba hii yetu. Tathmini inahitajika katika idara zetu.
 
Nimeshindwa kumchukia JPM
Yaani kuna mkono wake kila mahali. Rest in peace JPM
 
Sukuma gang mna-force mambo, zikianzishwa za kuelezea maovu aliyoyafanya mnaanza kulalamika mkidai 'marehu muacheni apumzike'.
Kunyoosha maelezo ni kwamba yule Muhutu Jiwe aliopaswa kuongoza kwao Burundi, ameichafua sana TZ na udhalimu wake hautasahauluka. Ringleader la watu wasiojulikana.
 
Yeah[emoji106]
 
Inaonekana kichwa chako kimejaa matusi, hasira na ghadhabu na hufuatili mambo kwa kutumia akili yako zaidi ya kusikiliza porojo. Hivi ile miradi yote aliyoanzisha ya SGR, Bwawa la Nyerere, ujenzi wa madaraja, ununuzi wa ndege huko waliajiriwa Nyani?

Tatizo la ajira halikuanza awamu ya tano na wala haliwezi kwisha kamwe. JPM ndio kiongozi pekee aliyeanzisha miradi mingi ambayo ilitoa ajira kwa makundi yote ya wasomi na walio na elimu ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…