Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

Naona unakimbilia matusi badala ya kujibu hoja kistaarabu. Kuanzia leo ukae ukijua kuna aina mbili za ajira, ajira za kudumu na ajira temporary. Hiyo miradi ilileta ajira za temporary lakini pia ilitoa ajira za kudumu, na ikikamilika inabaki na ajira nyingi ambazo ni zakudumu.

Sasa unasema madactari hawakupata ajira hiyo takwimu unayo au unaleta hisia tu hapa, kwa hiyo sisi tulioajiriwa 2019 na 2020 tusemaje.
 
Adui mkuu wa nchi hii ni KIKWETE NA GENGE LAKE ...wananchi wote kwa pamoja tunatakiwa kukataa mtu yoyote mwenye rangi ya huyu chegovara
 
Adui mkuu wa nchi hii ni KIKWETE NA GENGE LAKE ...wananchi wote kwa pamoja tunatakiwa kukataa mtu yoyote mwenye rangi ya huyu chegovara
Adui mkubwa wa hii nchi ni jiwe aliharibu sana kulea magenge ya kiharaifu kama kina Msiba na Sabaya
 
Very few. Jpm ndo aliajira mamiliono bila kunakiza mtu na alikuwa hajigambi
 
Kaka nabii hakubaliki kwao
 
Aliyafanya yote haya akiwa ni rais wa tano wa CCM akitekeleza sera zile zile zilizotekelezwa na watangulizi wake wanne.

JPM aheshimiwe kama watangulizi wake wanavyoheshimiwa, tuachane na hii tabia ya kutaka kumfanya kama vile ni Malaika fulani, apewe heshima yake na akosolewe pia.
 
Mkuu, umeandika machache sana kati ya mengi aliyo fanya.

Angalia Barabara kuanzia kimara mpaka mail Moja pia utajua Jembe alitaka Tanzania ya namnagani.
KWA hiyo maraisi wengine hawakujenga lami?mbona mapambio mengi mno?
 
Wenyeji wa Nchi wanaomsulubu Mwamba kwa matusi ni wachache sana ! Tena wapo humu mitandaoni wa kuhesabu ! Lakini Ukienda kwa Ground mambo ni tofauti kabisa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…