Tuifahamu Wagner Group kwa undani

Utakua mtoto wewe....fuatilia mambo..unawajua blackwater wa Marekani na operations zao kwa niaba ya Jeshi la Marekani??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hao ni Majambazi wa kukodi wa Mzee Putin.
 
U
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.
Umefafanua vyema. Asante
 
Wapi umeona kuna vita na hawatumii majeshi??
Sijasema hawatumii majeshi Bali hawatumii majeshi makubwa ya kiserikali kufanya uvamizi. Mfano Rwanda inavyofanya Congo sio Jeshi la Serikali ila ni kikundi kidogo M23 inatumika kufanya shughuli zote za Kigali ndani ya DRC.
 
Wewe liongo la kutupwa na huwapendi wamarekani kwa sababu zako za kidini, Mimi nimeshakugundua.
Pia kumbuka Kagame ndiye aliyewatimua hao magaidi na sio Wagner

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Na huyu naye ni GREAT THINKER..... Aseeee.... Na Hapo ndio kafikiria mpaka mwisho.
 
Point
 
WAnajeshi wa rwanda wapo wengi sana zaidi ya 6000.
Wanalinda ges na rasilimali na migodi.
Wagner SIDHANI kama walienda Mozambique ni propaganda za West.
Maana wanamshutumu kuwa Wagner WANAENDA sehemu za rasilimali tuu.
Rasilimali za Mozambique wanaochimba ni nchi za magharibi na ndo maana ufaransa waliobaki EU wawape rwanda 22USD na waliwapa kusaidia kulinda investment zao
 
Ndani ya jeshi la Msumbiji kulikuwa na usaliti, vile vile Rwanda kuna Uzi mwembamba Sana unaowatenganisha na mabeberu.
Na ndo maana jeshi la msumbiji walikuwa wanashidwa kuwadhibiti lile kundi.
Nina mjomba WANGU mmoja ni mjenda. Juzi kaongea na mama alikuwepo mpaka kule mtwara,
Alisema msumbiji hali bado sio mzuri na ni tete bado.
 
Labda sio pmc wagner group ya mwamba putin yaani waweze kupgana na isis ndani ya syria inayosaidiwa na usa na all nato members wawashindwe hao wa msumbiji wavaa ndala hata chakula hawana
Wagner hawajaenda msumbiji , zilikuwa propaganda za west.
Kwa sababu like eneo kuna rasilimalinnyingi na WANASEMA putin anapeleka wagner sehemu yenye faida,
Wakaanza kuzua mdai kuwa kupeleka msumbiji
 
Ni propaganda za Proputin
Wagner hawajaenda msumbiji , zilikuwa propaganda za west.
Kwa sababu like eneo kuna rasilimalinnyingi na WANASEMA putin anapeleka wagner sehemu yenye faida,
Wakaanza kuzua mdai kuwa kupeleka msumbiji
 
Wapi walipoingia ambako kulikuwa na majeshi ya NATO yakasepa??
 
WAGNER hawakuenda msumbiji mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…