Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

Pale ambapo katiba, sheria imetoa loop holes, haisemi chochote kuhusu jambo flani, inatoa nafasi ya kitu kingine kufanyika kwa kuwa katiba imetoa mwanya, na ipo kimyaa!!

So planner hata kama hajapigiwa kura anakuwa automatically Rais!! Endapo Rais aliepo atashindwa kutimiza majukumu yake kadiri ya matakwa bya katiba.
 
Ni sababu gani hiyo inamnyima Samia stahili za kuendelea kutawala?
 
Uchaguzi mpya unaitishwa ndio jibu sahihi
 
Je munakumbuka uchanguzi wa 2015, ni viongozi wangapi wa ccm walirudisha jezi kwa kipa,2025 itakuwa ni extremely Yan,
 
Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Halafu Wanajua Katiba Ni Bubu Ila Wanataka Iiongee
Mwenye Nafasi Anakuwa Kama Fisi Anangoja Mkono Wa Binadamu Udondoke
 
Sisi wa F flat hatijaelewa. Wale wa D 2 mtueleweshe
 
Achana na akina Maria Sarungi. Hahaha!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mwulize mamako, we kenge huo uchuro mpelekee mamako na itatumika katiba ya ukoo wenu. Katiba ya Tanzania makamu wa Rais ni makamu wa Rais
Hizi hasira zoote chief za nini?

Umesahau upendo wetu tulozaliwa nao chief, aidha uwe siyo mbongo, si kwa matusi haya
 
Mama mitano tena, na tunatoa fomu Moja tu!!πŸ€£πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Maswali chokonozi Sana
Mimi nauliza tu miaka 40 ijayo itauwa awamu ya ngapi maana Makamu wakishapata wanabadilisha awamu za uongozi wakati hawajachaguliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…