Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale ambapo katiba, sheria imetoa loop holes, haisemi chochote kuhusu jambo flani, inatoa nafasi ya kitu kingine kufanyika kwa kuwa katiba imetoa mwanya, na ipo kimyaa!!Huu ni mtazamo wangu.
Kwa kuwa katiba imesema makamu wa Rais atakuwa Rais baada ya Rais kufariki au mengineyo hivyo haijalishi ni makamu wa namna gani ,kama katiba imemkubali kama makamu wa Rais basi atakuwa Rais.
Lakini kwa upande mwingine katika mazingira hayo makamu wa Rais na Rais wote watakuwa hawachaguliwa Wala kupigiwa kura popote ,hapo ndio katiba inabidi iseme zaidi nchi kuwa na viongozi ambao hawakuchaguliwa madhara yake na faida zake ni zipi
Ni sababu gani hiyo inamnyima Samia stahili za kuendelea kutawala?Mimi nimenusa mambo mawili au matatu au zaidi kama ifuatavyo...
1. Samia Suluhu Hassan definitely, alikuwa VP aliyepigiwa kura pamoja na mwendazake John P. Magufuli. Huyu yupo hapo kikatiba. Shida kubwa ni mbili tu; Mosi ni Mzanzibari na pili ni mwanamke....
It was a fatal mistake kumpa majukumu ya u - Rais mwanamke kama huyu mwenye sifa hizo☝🏻☝🏻☝🏻..!!
2. Dr. Philip Isidory Mpango kwa sasa ndiye VP. Huyu hakupigiwa kura. Hakuchaguliwa na Rais aliyepo madarakani na hivyo Ibara ya 37 (5) ya katiba ya JMT ya mwaka 1984 inamtupa nje kabisa ya ulingo. Na hapa ndipo ilipo hoja yako.
3. Nahisi pia kuna kitu hakiko sawa kwa Samia Suluhu Hassan (Rais wa mpito wa sasa). Obviously, huyu hastahili kuendelea na nafasi hiyo hata kwa miezi miwili tu mbele iwapo tunaipenda Tanganyika yetu. Ndo swali linakuja kuwa: ITAKUWAJE MAANA VP Dr. Philip Isidory Mpango katiba haimtambui..??
"tajiri ''Kikubwa awe makamu wa Raisi😂.
Muda wa Chanika na Tabata kisukulu kujengwa zege barabara zote za mitaa bila kusahau flyovers. Tulikaa Kinyonge saana!!!
Uchaguzi mpya unaitishwa ndio jibu sahihiKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Halafu Wanajua Katiba Ni Bubu Ila Wanataka IiongeeKatiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Sisi wa F flat hatijaelewa. Wale wa D 2 mtuelewesheKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Achana na akina Maria Sarungi. Hahaha!Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
😆😆😆😆😆Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Wakati wa kambale kulikuwa na maneno kama hayo unayosema!!Kuna changamsha kijiwe cha kahawa, kilipoa sana. Una 500 hapo niagize kahawa ya jero mkuu.
Hizi hasira zoote chief za nini?Mwulize mamako, we kenge huo uchuro mpelekee mamako na itatumika katiba ya ukoo wenu. Katiba ya Tanzania makamu wa Rais ni makamu wa Rais
🤣🤣🤣🤣Mwulize mamako, we kenge huo uchuro mpelekee mamako na itatumika katiba ya ukoo wenu. Katiba ya Tanzania makamu wa Rais ni makamu wa Rais
Mama mitano tena, na tunatoa fomu Moja tu!!🤣😀🤣😀🤣🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Maswali chokonozi SanaKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Maswali chokonozi Sana
Mimi nauliza tu miaka 40 ijayo itauwa awamu ya ngapi maana Makamu wakishapata wanabadilisha awamu za uongozi wakati hawajachaguliwa...