Tuisila Kisinda is yellow and green

Tuisila Kisinda is yellow and green

Tatizo kiwango
mpira_takwimutz_%22._Ch8_CqZqg4S.jpg
 
Si hata chama alipata medal maana alikuwa jina lake lishasajiliwa kule na yeye alihesabika mchezaji wa berkene hivi huwa mnatoaga wapi habari zenu hzo nyie utopolo mbona mnadanganya watu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]iko wapi hio [emoji966]?
 
Kuna ka ugonjwa pale Yanga. Hata Morrison tuliaminishwa ni hujuma mpaka leo hatushutuki. Systems zina utaratibu wake. Tujiulize kwa nini akataliwe Kisinda aliyekuja mwishoni na si Aziz Ki au Joyce? Utambulisho wenyewe umefanyika mwishoni kwa kupigiana simu hata mchezaji mwenyewe hajafika nchini. Mna uhakika alishasaini na mikataba? Je, jina lake liliingizwa kwa muda stahiki au ndo mambo yetu ya kulazimisha wafunguliwe ili asajiliwe baada ya muda? Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom