Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Sikujua kama na ww una mawazo mafupi kiasi Anyway, waarabu chukueni bandari.
 
Dada yangu To yeye hivi hauoni hii namba E ya early 2000s inavyoshindana na D ya 1990s.

Vitoto vya miaka ya 2000s ni mfano tosha wa mwanamke na umri.

Ila kuna kutamanisha, kuvutia na kufurahisha.

Wanawake wa umri 25-18 wanatamanisha na wachache ndani yao ndio huvutia na kufurahisha (wana pilika pilika sana)

Wanawake wa umri 35-26 wengi wanavutia na kufurahisha, wachache wanatamanisha (wana utamu wa mapenzi)

Wanawake wa umri 45-36 wanafurahisha, wachache sana wanatamanisha na kuvutia pia. Huu muda washaumaliza mwendo ila wanajua kipi chakufanya na akifanye vipi.

Kuna kundi fulani la wanawake wa umri 46-50 huwa halieleweki linqsimamia upande gani ila uchumi na hali ya maisha inaamua sana wakae upande gani, vijana wanaita mishangazi ip kwa kila ngazi ya uchumi.

Wanawake wa umri 55+ hawa hawapo kwenye hayo mambo tena, haw ni binadamu tu kama binadamu wengine. Wachache sana wanakuwaga hawaambiliki

Hivi ni vile naiona jamii ilivyojiunda unda wakuu
 
🙏 Nimekuelewa mkuu... kabisa
 
ni kwasababu gani wanapendwa na wadada wadogo ? Feni tedoka
 
Kama Gigy money hali yake sasahivi, naona kambisa anaelekea kuchizika, maana kila mtu anaetaka kuwa nae hawamtaki, juzi katangaza kuwa anamtaka platform_Tz ametolewa nje, Gigy money ni single mother anaetaman sana kuolewa lakn hapati bahati [emoji23]
hivi ni kweli Gigy hivi sasa anatamani sana kuolewa? basi muda ni kila kitu kwenye maisha, huyu binti alichizika sana siku za nyuma kwa vituko
 
Kumbe!Kwa hiyo mtu anaogopa kuombwa mabati na cemanti
Ndiyo maana yake, Jumapili kuna mwingine eti anamimba nimnunulie cherehani! Yani hata sijaonja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada anaomba ninunue cherehani, kwa mtindo huo unategemea nini kama siyo kutaka kuangamiza familia! Nilikaa nikamtafakari Sasa hivi hata sms zake sijibu.
 
Ukizeeka(ukifika miaka 35) Likei lako ni kweli bado lipo lwazo akini linakuwa halina ladha, maana litakuwa limetumika mno, limetanuka na kuwa pana tena legevu.

Ndomaana anayepata stress kwa kuchelewa ndoa ni mwanamke na siyo mwanaume. Mwanamke akifika miaka 40 au zaidi ndo uke unakuwa mkavu, ktk tendo anaumia tu, maana hormones zinazoleta utelezi zinakuwa zimepungua, hiyo ni kutokana na uzee, yaani umekuwa bibi.

Lakini mwanaume hata afike miaka 60, kama ana afya njema anadindisha vizuri tu, kwani hamsikii mabinti wanatembea na wazee, sasa kama hawadindishi wangetembea nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…