Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Mrema alikuwa na miaka 77 aka oa mwanamke mwenye miaka 38. Hiyo ni nusu. Na watu Waka mpongeza wewe fikisha 70 uolewe na kijana mdogo, kama haja kuchubua na ukavu wako.
Hakuwa na miaka 38.
Haya aliishi miaka mingapi kwenye hiyo ndoa???.
Na alisema,anaoa ili mtu amuhudumie maana maradhi yake yanahitaji mtu wa karibu kuliko ndugu yaani soul met
 
Yaani wakina Ester soko lao limeshaisha, ndomaana wamekuwa wakali, utakuta ana miaka 50.
Hahaha,unanipeleleza TU.
Natongozwa Hadi nakimbia.
Vitoto vyenyewe vinavuliwa nguo na chipsi yai,kesho vimeshakinaiwa.
Utasikia AAA hivi videmu bwana HAKUNA kitu kabisa.Mimi Hapo kimyaa nasikiliza
 
Inawezekana.
 
Hahaha. Wewe vingapi hadi ukate kiu?
Kwa kweli 3/4.roho kwatuuuu.
Pesa tuu ndugu yangu.
Lakini akikupiga kimoja chaliii.
Yaani Hawa wazee huwa hawanaga shughuli nzito kabisa.
Mjegeje unalala baada ya kimoja.hapoo mpaka kesho kutwaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…