Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Mrema alikuwa na miaka 77 aka oa mwanamke mwenye miaka 38. Hiyo ni nusu. Na watu Waka mpongeza wewe fikisha 70 uolewe na kijana mdogo, kama haja kuchubua na ukavu wako.
Hakuwa na miaka 38.
Haya aliishi miaka mingapi kwenye hiyo ndoa???.
Na alisema,anaoa ili mtu amuhudumie maana maradhi yake yanahitaji mtu wa karibu kuliko ndugu yaani soul met
 
Yaani wakina Ester soko lao limeshaisha, ndomaana wamekuwa wakali, utakuta ana miaka 50.
Hahaha,unanipeleleza TU.
Natongozwa Hadi nakimbia.
Vitoto vyenyewe vinavuliwa nguo na chipsi yai,kesho vimeshakinaiwa.
Utasikia AAA hivi videmu bwana HAKUNA kitu kabisa.Mimi Hapo kimyaa nasikiliza
 
Mimi nimekuelewa vizur point yako!!!
Point yako inavitisho na umetumia mfano ambao nina weza nikaurekebisha nakuufanya huo mfano wako ukawa mwiba kweny point yako!

Lkn je? Mwezangu umeilewa point yangu hiyo ambayo umejarbu kuichallenge?

Nafikir kuna haja ya mimi kuifafanua
Inawezekana.
 
Hahaha. Wewe vingapi hadi ukate kiu?
Kwa kweli 3/4.roho kwatuuuu.
Wanaofia gesti, wengi wao huwa wanaumwa magonjwa ya moyo, halafu mwanamke akizeeka genye zinapungua coz hormone nazo zinapungua, tungekuwa hatuna nguvu, tudingekuwa na wake wawili au michepuko.


Wale wazee wenye kanzu unakuta wanao mke wa tatu kibinti kibichi, afu mzee ana miaka 60, sasa utasemaje hana nguvu.
Pesa tuu ndugu yangu.
Lakini akikupiga kimoja chaliii.
Yaani Hawa wazee huwa hawanaga shughuli nzito kabisa.
Mjegeje unalala baada ya kimoja.hapoo mpaka kesho kutwaaaaa
 
Back
Top Bottom