Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Kinachotukosti wanaume ni maradhi tu hakuna kingine, yaani ukiyaepuka maradhi yasiyoambukiza kama sukari, pressure, moyo nk una uwezowa kukipiga hadi uzeeni.

Wanawake ni case tofauti, peak unafikia ukiwa around 45 tena kama unajipenda na kujitunza, short of that at 40 tu tayari wanaume hawakupi attention tena.
 
Ni Kweli mkuu
 
Ni kweli,sukari ndo inaumiza sana wanaume Kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…