Dadamtu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2023
- 502
- 1,093
Eeeeeh bwana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Miaka 40 hutongozwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeeh bwana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Miaka 40 hutongozwi?
Ndio ndio!mvua inanyesha huku!!Hope unaendelea poa ndugu
😁Mimi pia,ndoa lini?
EehEeeeeh bwana 🤣🤣
Divorced 😃Aisee,kama umeolewa tulia tu cute
HahahahahahaNilivyokuwa na miaka 15nilikuwa natongozwa mara 2-4 Kwa siku,Sasa nina 40 natongozwa mara 0-1 Kwa mwezi....eti Kwa Nini?
Ni Kweli mkuuKinachotukosti wanaume ni maradhi tu hakuna kingine, yaani ukiyaepuka maradhi yasiyoambukiza kama sukari, pressure, moyo nk una uwezowa kukipiga hadi uzeeni.
Wanawake ni case tofauti, peak unafikia ukiwa around 45 tena kama unajipenda na kujitunza, short of that at 40 tu tayari wanaume hawakupi attention tena.
Una options mbili mkuu,Nilivyokuwa na miaka 15nilikuwa natongozwa mara 2-4 Kwa siku,Sasa nina 40 natongozwa mara 0-1 Kwa mwezi....eti Kwa Nini?
Ni kweli,sukari ndo inaumiza sana wanaume Kwa sasaKinachotukosti wanaume ni maradhi tu hakuna kingine, yaani ukiyaepuka maradhi yasiyoambukiza kama sukari, pressure, moyo nk una uwezowa kukipiga hadi uzeeni.
Wanawake ni case tofauti, peak unafikia ukiwa around 45 tena kama unajipenda na kujitunza, short of that at 40 tu tayari wanaume hawakupi attention tena.
Wengi wanaonitongoza wataka Hela zangu na Mimi ni mchaga ni laana kuchezea mbesaUna options mbili mkuu,
1. Tafuta kijana mdogo umlee.
2. Upate wazee kama sie unaopenda age zilizoenda kidogo.
Short of that hakuna mitongozo kwa sasa.