Nimepita pita weee mwishowe yamenishinda acha niseme machache
Mwanaume hupata stimulation kutokana na body (appearance) ya mwanamke hasa akiona zile sehemu muhimu zinazohusisha sex, mwanaume ni nadra kusimamisha mbele ya mbibi ambaye tayari ana mapengo na ngozi imenyauka si rahisi labda ana shida ya muda. Na ndio mwanaume anatakiwa awe tayari kihisia ili tendo lifanyike kwa maana bila mwanaume kusimamisha ni kazi bure
Ila kwa mwanamke ni tofauti kidogo, ni wachache hupata hisia kwa kuona body au sehemu ya siri ya mwanaume bali wao hupata kwa kuandaliwa na ndio maana mwanaume huchagua mke.