Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

Binafsi nimewahi kuishi dodoma kwa ufupi Sina hamu na watu wa kule wagogo upo zako mnadani unachoma nyama labda ya sh, 5000 mgogo akikusalimia ukimjibu tu anakuungia hata kama hakujui imenitokea mala kibao nilikuwa nawaachia waendelee
 
Unakunywa zako soda mtu anaomba eti nibakizie kidogo, halafu ni mtu mzima unajiuliza huyu hajui kuwa soda hii tayari ina mate na udenda kutoka mdomoni kwangu.
Hizi tabia ni za ovyo hata kama baadhi ya wapuuzi wanazichukulia simple.
 
Hivi vitu kweli vina kera tena sana tuu.
Na wote wanao comment kuwa una tabia ya uchoyo ukute ndio hao hao wenye hivo vitabia..

Mtoto wa kiume haipendezi kuwa na tabia kama hizo ndo mwanzo wa 🌈kwa sababu unapenda penda dy/dx.

Kama una mazoea ya tabia kama hizo basi fanyiana na mwenzako ambaye ana tabia kama hizo...

Naungana na wewe Jobless_Billionaire
 
Unakunywa zako soda mtu anaomba eti nibakizie kidogo, halafu ni mtu mzima unajiuliza huyu hajui kuwa soda hii tayari ina mate na udenda kutoka mdomoni kwangu.
Hizi tabia ni za ovyo hata kama baadhi ya wapuuzi wanazichukulia simple.
Yaani ndo hao watu wazima hovyo...
Mi mtu kama huyo namchapa vibao shabash 😁😁
 
Kama unajijua kuwa una roho ya uchoyo kiasi hicho ni kwa nini usiwaambie huko jikoni wakufungie hiyo kiti moto kwenye foil kisha ukale chooni ukimaliza urudi kwa washkaji kuendelea kucheza pool table?
Usipende dy/dx mkuu 😁😁😁😁
 
Uwe unafunga ulie kwako,hlf binadamu hawafanani ww unachukizwa lkn wao wanaona kawaida mfano mtu amekuuliza kitu umenunua wap ni normal bro maana ameappreciate usichukulie vitu negative sana.😊
Dy/dx
 
Zamani wazazi wetu mmeenda kwa watu au kwa jirani mkakuta wanakula ukakaribishwa na kuanza kula utakatwa jicho na mzazi mpaka ukome mkitoka hapo shughuli unayo,mpaka Leo nikija kwako nikawakuta mnakula hata niwe na njaa nitashukru siwezi kula kwasababu sikuwa kwenye budget Ila nikifika bado hujaivisha ukapika nipo nitajoin kula kwa vyovyote mhusika najua kajiongeza kwamba hapa Kuna mgeni kaongezeka
 
Hii hasa wa kike ..
Anakuja anavaa nguo za mwenzake tena bila uwoga kabisa...

Akifika maza house anashangaa hi harufu mbona tofauti kabisa 😁😁😁😁
Inakera sana jamani sanaa kumzoea mtu sio uguse vitu vyake
 
Inakera sana jamani sanaa kumzoea mtu sio uguse vitu vyake
Sema hapo ni kumchana ukweli tuu..
Hakuna kulaza kiporo....

Mi mtu akiwa nje ya utaratibu wangu kama ni wa permanent nitamfundisha ila kama temp tu atajijua huko aendako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaishi ki local au maeneo ya ki local hayo mazingira lazima ukutane na hao watu 2a aina hiyo. the way unavyo hug nao
 
Ukiongea unatoa mate meupe minimum kama palamagamba kabudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…