Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

Tunaongea mambo muhimu unakuja kuleta mambo ya simba na yanga
 
Nilichogundua wewe ni mtu ambae unaelewa maana ya ustaarabu na jinsi ya kuishi katika mazingira. Lakini ukweli mchungu ni kuwa upo katika kundi la kiswahili ambalo sio level zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…