Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wanakopa wapangaji halafu wakati wa kulipa ukifika wanasema watapuguza deni katika kodi inayofuata.Umasikini wa mwenye nyumba wewe unakuuma nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakopa wapangaji halafu wakati wa kulipa ukifika wanasema watapuguza deni katika kodi inayofuata.Umasikini wa mwenye nyumba wewe unakuuma nini?
NaamNini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.
Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.
Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
HahahaWanakopa wapangaji halafu wakati wa kulipa ukifika wanasema watapuguza deni katika kodi inayofuata.
WellAkili Matope za Akina Wema Sepetu na Bongo Fleva wa wakati huo leo wanawaoneo Wivu wadogo zao. Waliishia kupanga Sinza, Mbezi na Osterbay kwa bei ya Kupata Kiwanja Goba leo Filamu na Mziki wao vimebuma wanajuta.
Cha kwanza jilipue jenga nyumba mengine yafuate nikiwa ndani kwangu hizo habari za ujuaji zimeponza wengi.
Najaribu kukuelewa kiongozi.Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.
Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.
Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Sijasema wenye nyumba wote ni maskini.Najaribu kukuelewa kiongozi.
Embu twende taratibu. yani wewe mpangaji unaemiliki sembe ya kununua kwa mangi na sabuwufa yako ya kuskiza singeli na mwenzio mwenye hati yake ya nyumba, ana uwanja, ana nyumba yake, ana miembe yake, maji unayokunywa yanasoma jina lake, umeme unaotumia wew mpangaji unasoma jina lake.
Kwaiyo apo bado wewe mpangaji unafanana na faza hausi?
We muache. Majibu atayapata.Una akili ndogo sana bado hujafanya utafiti kwanini iko hivyo unakuja na jibu la jumla.
Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.
Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.
Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Umeongea point muhimu sana ila kutokana na uwezo mdogo wa kufikiria tulionao wengi wetu kulikopelekea hadi kuwa na maisha ya kukaririshwa utaishia kuonekana huna akili, kama baadhi ya wachangiaji humu walivyochangia.Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.
Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.
Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Unajua kua thamani ya kiwanja inapanda kila siku, sasa kama ni umesikini umeletwa na nyumba basi unaweza kuuza ukaenda kujenga sehemu ambayo mji unakuja na ukapata angalau kamtaji ka kuanzia au kuendelezea biashara.Umeongea point muhimu sana ila kutokana na uwezo mdogo wa kufikiria tulionao wengi wetu kulikopelekea hadi kuwa na maisha ya kukaririshwa utaishia kuonekana huna akili, kama baadhi ya wachangiaji humu walivyochangia.
Nyumba zimepelekea watu wengi kuwa maskini bila wao kujua.. hapa simaanishi nyumba siyo muhimu, nyumba ni ya mihimu ila kama mtoa mada alivyosema, kuwa kwanza na uchumi imara msingi imara kiuchumi mengine yatafuata wabongo wengi tunaishi kwa uoga sana.
Poleeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mama mmoja mjin yeye ukipanga kwake utajuta yan hela anapata sijui anapeleka wapi unampa hela baada ya mwezi anaanza kulilia shida umkopeshe usipompa ni vijembe na kukukasirikia uswazi hapana aisee