fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Ngoja nikufuate tuzurure woteMi Jana nimelala na kushinda jf...Leo nitazurura mpaka miguu ijute kuwepo mwilini mwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikufuate tuzurure woteMi Jana nimelala na kushinda jf...Leo nitazurura mpaka miguu ijute kuwepo mwilini mwangu
Tafuta pesa bro,Huo ni ulimbukeni, kujipenda siku za sikukuu ambazo kwa mwaka ni chini ya siku tano au sita na kuishi kwa shida siku nyingine zote ni tatizo.
Naipa pole hiyo miguu itakavotembezwa leo[emoji28]Mi Jana nimelala na kushinda jf...Leo nitazurura mpaka miguu ijute kuwepo mwilini mwangu
Pesa naitafuta mkuu ndio maana jana nikaenda kwenye mishe zangu kuingiza helaTafuta pesa bro,
Utafurahi sikukuu ndio maana ikaitwa sikukuu [emoji3]
Yaani Mtu afunge siku 40 au mwingine siku 30 halafu unataka sikukuu ale matunda alale weee hebu kua na aibu kidogo,
Jana tu mwenye nyumba wangu katuchinjia kuku wa kienyeji watatu, ujue sikukuu ilivyo na raha na furaha, eid tutachinja Mbuzi wawili na Kuku kadhaa nitakualika [emoji1787][emoji1787]
Kadhani Boda kununua Kuku jana basi siku zote familia ya Boda wanakula matembele,Kaka no hard feelings, Mimi nimecomment tu [emoji16]
Sometimes kuwaamulia watu namna ya kuishi inaweza isiwe sawa. Imagine boda wako labda siku zote anaipa familia kuku wa kisasa kutokana na kipato Ila jana kaamua kuwafanyia kitu special
Kwa nini usiichukulie kama baba wa familia anaeonesha upendo kwa familia yake kuliko kumtwika jukumu la kufanya unayoyafanya wakati kipato ni tofauti
Pesa ulivyoipata ukala matunda ukalala,Pesa naitafuta mkuu ndio maana jana nikaenda kwenye mishe zangu kuingiza hela
Hakikisha umezurura mpaka Old Forest,Kadeghe na MetaMi Jana nimelala na kushinda jf...Leo nitazurura mpaka miguu ijute kuwepo mwilini mwangu
Huyu boda wangu ananiletea kuku wawili wa kienyeji (20000 kila mmoja) kila baada ya week mbili. Simuonei wivu mkuu kwakuwa mimi sio hohehahe
Msimsagie kunguni sana 😂😂😂Kadhani Boda kununua Kuku jana basi siku zote familia ya Boda wanakula matembele,
tena sio Kuku wa kisasa huenda hiyo jana sehemu ambayo huchukua kuku wa kienyeji waliisha ndio maana akampigia yeye ampe namba ya huyo mtu mwingine,
Huyu mtoa mada sio tu mpweke ana kiroho cha korosho pia.
Bado hata sijaamkaHakikisha umezurura mpaka Old Forest,Kadeghe na Meta
🤣🤣🤣🤣🤭Naipa pole hiyo miguu itakavotembezwa leo[emoji28]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Familia inahudumiea wakati wote ila ikifika sikukuu kwakua mnapenda makubwa mnasema haihudumiwi lakini siku nyingine watoto wanaenda shule wamevaa vizuri na mahitaji yote ya muhimu ila ikifika sikukuu hela ikipungua kidogo zinakuja kauli baba fulani hahudumii familia yakeHata miaka ya zamani wakina Mama ndio walikua busy na mambo ya sikukuu na wakina Baba walitafuta kuleta nyumbani,
Sijajua wanaume wa siku hizi mna shida gani katika suala la kuhudumia familia tena chache tu mnakimbilia ubusy utakua busy bila kurudisha huduma nyumbani watoto wakavaa nguo mpya, wakala pilau kuku na soda na mama zao wakavaa vitenge vya Wax!
SawaNgoja nikufuate tuzurure wote
Nakula na vitu vingine mkuu. Sio sifa kula kuku kila siku, kuna samaki, maharage, mbuzi, ng'ombe' maini. Halafu mimi ni bachelor na sipiki kila sikuYaani unakula kuku wa kienyeji wanne kwa mwezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati kuku wa kienyeji ni mboga Kama maharage tu
Unaweza kula daily
Mimi najipenda sana. Nakula vizuri sana. Jana nimekula matunda kwakuwa nimechelewa kutoka kwenye mishe nikafikia home moja kwa moja nikakata tikiti nanasi papai na parachichi nikala nikalala. Ningewahi kutoka ningepika chakula kama kawaida yanguPesa ulivyoipata ukala matunda ukalala,
Huzikwi nazo Bro we tumiaaaaaaaa,
Mada yako inafaa ikurudie wewe, jipende, jitoe out [emoji38]