The indigenous
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 312
- 143
labda wanazimia kwa njaaAcha kuwasingizia wananchi.Mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli anasimamishwa na wananchi kwenye misafara yake. Wananchi wanalia kwa furaha wengine wanazimia.
Wewe unasema nini?
CAG Kila mwaka anawakagua na kuwapa hati Safi na huo uwizi CAG auonagi acha uzwazwaKero za wananchi ni pamoja na kuzuia wizi wa ruzuku ya vyama ambavyo ni mali ya wananchi kwa kuwa vinapata ruzuku yao
Na wanafanya wizi katika pesa hiyo. Vipi bwashee hata picha tu huoni wala kuelewa?
Ni wazi akili zako haziko sawa umejikita kwenye ushabiki wa kijinga kuliko kuwa na uwelewa wa kina juu ya unachokiandika. Tumeshuhudia kashfa mbalimbali za wizi wa fedha kam vile RICHMOND, DOWANS, EPA, ESCROW nk. katika kashfa hizo ni chama au taasisi gani ilifutwa? na je ni chombo gani cha ukaguzi wa fedha kinachoaminika na serikali na Bunge na ambacho kikitoa taarifa zake zinatakiwa zifanyiwe kazi? nafikiri unajuwa wazi ni CAG. Nikuulize je katika taarifa ya CAG juu ya vyama vya siasa ni chama au vyama gani vyenye HATI CHAFU? ukipata jibu juu ya taarifa ya CAG utajua ni chama au vyama vipi vinatakiwa vichukuliwe hatua kutokana na matumizi mabaya ya fedha za vyama ikiwemo na RUZUKU.Ni vema tukalielewa hili mapema wakati uchunguzi kuhusu matumizi ya ruzuku kwa vyama mbalimbali ukiendelea.
Wabunge wa Chadema wameeleza wazi kuwa matumizi ya ruzuku ndani ya chama hicho kwa muda mrefu yamekuwa ya "kienyeji" mno.
Tusisahau kuwa Mh. Komu aliwahi kuwa mtunza hazina wa Chadema na Dr. Mashinji aliwahi kuwa Katibu Mkuu.
Hivyo ikithibitika pasipo shaka kwamba ruzuku imekuwa ikiliwa na wajanja "wawili watatu" basi Msajili wa vyama ataifuta Chadema kutoka Daftari la vyama vya siasa.
Maendeleo hayana vyama!
Subiri rungu la msajili ndio utaelewa kwanini CAG na Takukuru zilimkabidhi Rais Magufuli ripoti tofauti za taasisi zao.Ni wazi akili zako haziko sawa umejikita kwenye ushabiki wa kijinga kuliko kuwa na uwelewa wa kina juu ya unachokiandika. Tumeshuhudia kashfa mbalimbali za wizi wa fedha kam vile RICHMOND, DOWANS, EPA, ESCROW nk. katika kashfa hizo ni chama au taasisi gani ilifutwa? na je ni chombo gani cha ukaguzi wa fedha kinachoaminika na serikali na Bunge na ambacho kikitoa taarifa zake zinatakiwa zifanyiwe kazi? nafikiri unajuwa wazi ni CAG. Nikuulize je katika taarifa ya CAG juu ya vyama vya siasa ni chama au vyama gani vyenye HATI CHAFU? ukipata jibu juu ya taarifa ya CAG utajua ni chama au vyama vipi vinatakiwa vichukuliwe hatua kutokana na matumizi mabaya ya fedha za vyama ikiwemo na RUZUKU.
Tumbiri yuko CCM mkewe ni mbunge huko Chadema!
Kama navyokudharau kwaujinga na ufataupepoId I'd nyingine ya kudharau jf besides jingalao bia yetu na elitwege
Inategemeana ni picha ipiKero za wananchi ni pamoja na kuzuia wizi wa ruzuku ya vyama ambavyo ni mali ya wananchi kwa kuwa vinapata ruzuku yao
Na wanafanya wizi katika pesa hiyo. Vipi bwashee hata picha tu huoni wala kuelewa?