Tujifunze: Kipindi ambacho dini na imani zilianza kupoteza nguvu na kuanguka Ulaya

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani?

Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu sababu nini na lini hali hii ilianza.

AGE OF REASON
Hiki ndicho kipindi ulaya ili shuhudia mabadiliko makubwa ya kiimani pia kiutawala.

Kipi hiki imani na dini zilipitia wakati mgumu uliopelekea kuanguka kwa kiasi kikubwa katika mataifa mbalimbali ya ulaya tofauti na nguvu iliyokuwa nayo mwanzo

Kipindi hiki kilianza mwanzo mwa karne ya 17 kwenda karne ya 18. Kipindi hiki kilisisitiza matumizi ya akili katika kuchambua masuala ya kidini na kuepesha matumizi ya Imani kwa kiwango kikubwa.

Hiki ndicho kipindi sayansi na utumizi wa falsafa ulichipukia kwa kasi sana ndani ya ulaya. Sayansi na falsafa za kimaisha ziliathiri dini na imani kwa kiwango kikubwa ulaya.

Mapinduzi ya sayansi na teknolojia na uhuru binafsi ulichukua nafasi kubwa kipindi hiki, wanasayansi wengi wakubwa ulaya na duniani walianza kuonekana katika kipindi hiki.
Somo fupi la leo.
 
Je, nawe waona katika jamii yako, bara lako na taifa lako kipindi hiki kimefika au bado hakija wasili? Napokea maoni yako.
 
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini ulaya kilianza miaka ipi na karne gani ?

Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu sababu nini na lini hali hii ilianza.

AGE OF REASON
Hiki ndicho kipindi ulaya ili shuhudia mabadiliko makubwa ya kiimani pia kiutawala.

Kipi hiki imani na dini zilipitia wakati mgumu uliopelekea kuanguka kwa kiasi kikubwa katika mataifa mbalimbali ya ulaya tofauti na nguvu iliyokuwa nayo mwanzo

Kipindi hiki kilianza mwanzo mwa karne ya 17 kwenda karne ya 18. Kipindi hiki kilisisitiza matumizi ya akili katika kuchambua masuala ya kidini na kuepesha matumizi ya Imani kwa kiwango kikubwa.

Hiki ndicho kipindi sayansi na utumizi wa falsafa ulichipukia kwa kasi sana ndani ya ulaya. Sayansi na falsafa za kimaisha ziliathiri dini na imani kwa kiwango kikubwa ulaya.

Mapinduzi ya sayansi na teknolojia na uhuru binafsi ulichukua nafasi kubwa kipindi hiki, wanasayansi wengi wakubwa ulaya na duniani walianza kuonekana katika kipindi hiki.
Somo fupi la leo.
Enlightenmencjui ndio hivyo?
 
Huku Africa sehemu nyingi watu wanaogelea kwenye uchawiuchawi bado.

Hata wasomi bado wana imani hizo.

Mtu ana internet halafu anaamini uchawi.

Tuko nyuma miaka kama 300 kama si zaidi.
Sababu inaweza kuwa nini juu ya hayo yote?
 
Sababu inaweza kuwa nini juu ya hayo yote ?
Ujinga. Kutopenda kusoma mambo tofauti. Kutojua lugha za watu. Kutopenda vitu vipya. Kutoweza kutumia mantiki katika fikra.

Unampa mtu internet halafu hajui Kiingereza. Anajua Kiswahili tu. Automatically value ya internet imepungua sana hapo.

Kuna watu wengi sana nabishana nao hapa, nikiwaletea sources, wanataka niwatafsirie kwenda Kiswahili.

Nachoka hapohapo.
 
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini ulaya kilianza miaka ipi na karne gani ?

Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu sababu nini na lini hali hii ilianza.

AGE OF REASON
Hiki ndicho kipindi ulaya ili shuhudia mabadiliko makubwa ya kiimani pia kiutawala.

Kipi hiki imani na dini zilipitia wakati mgumu uliopelekea kuanguka kwa kiasi kikubwa katika mataifa mbalimbali ya ulaya tofauti na nguvu iliyokuwa nayo mwanzo

Kipindi hiki kilianza mwanzo mwa karne ya 17 kwenda karne ya 18. Kipindi hiki kilisisitiza matumizi ya akili katika kuchambua masuala ya kidini na kuepesha matumizi ya Imani kwa kiwango kikubwa.

Hiki ndicho kipindi sayansi na utumizi wa falsafa ulichipukia kwa kasi sana ndani ya ulaya. Sayansi na falsafa za kimaisha ziliathiri dini na imani kwa kiwango kikubwa ulaya.

Mapinduzi ya sayansi na teknolojia na uhuru binafsi ulichukua nafasi kubwa kipindi hiki, wanasayansi wengi wakubwa ulaya na duniani walianza kuonekana katika kipindi hiki.
Somo fupi la leo.
Ni kweli mtu anapoanza kutumia akili yake maisha hubadilika.
 
Sociology ilinifundisha mengi. Nawaona watu wanavyochemka na na mashoga. Ukisoma social deviance kwenye sociology utaona tu kuwa wanaotuma ultimutum wa mashoga watachemka wao.
 
Ujinga. Kutopenda kusoma mambo tofauti. Kutojua lugha za watu. Kutopenda vitu vipya. Kutoweza kutumia mantiki katika fikra.

Unampa mtu internet halafu hajui Kiingereza. Anajua Kiswahili tu. Automatically value ya internet imepungua sana hapo.

Kuna watu wengi sana nabishana nao hapa, nikiwaletea sources, wanataka niwatafsirie kwenda Kiswahili.

Nachoka hapohapo.
Elimu imepuuziwa kwa kiasi kikubwa
 
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini ulaya kilianza miaka ipi na karne gani ?

Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu sababu nini na lini hali hii ilianza.

AGE OF REASON
Hiki ndicho kipindi ulaya ili shuhudia mabadiliko makubwa ya kiimani pia kiutawala.

Kipi hiki imani na dini zilipitia wakati mgumu uliopelekea kuanguka kwa kiasi kikubwa katika mataifa mbalimbali ya ulaya tofauti na nguvu iliyokuwa nayo mwanzo

Kipindi hiki kilianza mwanzo mwa karne ya 17 kwenda karne ya 18. Kipindi hiki kilisisitiza matumizi ya akili katika kuchambua masuala ya kidini na kuepesha matumizi ya Imani kwa kiwango kikubwa.

Hiki ndicho kipindi sayansi na utumizi wa falsafa ulichipukia kwa kasi sana ndani ya ulaya. Sayansi na falsafa za kimaisha ziliathiri dini na imani kwa kiwango kikubwa ulaya.

Mapinduzi ya sayansi na teknolojia na uhuru binafsi ulichukua nafasi kubwa kipindi hiki, wanasayansi wengi wakubwa ulaya na duniani walianza kuonekana katika kipindi hiki.
Somo fupi la leo.
Baada ya kuanza kujitambua nilipata kujua mambo mengi na kwa urahisi kabisa.
Fikra zenye uhuru wa kutafakari na kuchanganua mambo.

Japo kwa jamii tunayoishi nayo inaweza isiyaelewe mawazo yangu kirahisi ila natamani siku wafikie hata 10% ya nkiwazacho mimi.

Tusiishi kwa kuridhika na majibu ya kiimani tuliyoyakuta.
Majibu ya kiimani ni ya zama za giza.
 
Baada ya kuanza kujitambua nlipata kujua mambo mengi na kwa urahisi kabisa.
Fikra zenye uhuru wa kutafakari na kuchanganua mambo.

Japo kwa jamii tunayoishi nayo inaweza isiyaelewe mawazo yangu kirahisi ila natamani siku wafikie hata 10% ya nkiwazacho mimi.

Tusiishi kwa kuridhika na majibu ya kiimani tuliyoyakuta.
Majibu ya kiimani ni ya zama za giza.
Wewe jamaa upo far 10 step ahead of most educated people . Kuna wasomi bado wapo ktk giza la imani za kusadikika.
Mfano kuna msomi ana amini Mwenyezi mungu yupo juu.
Ndugu zangu Waislamu wanaamini yupo mbingu ya saba. Ukiwauliza mbingu ya saba ni wapi wanakwambia ni juu huko.
Msomi wa fizikia alieiva hawezi kukubaliana na hilo jibu kwani ni la kijinga.
Zamani walishindwa kueleza makazi ya mungu leo tunaweza kuboresha hio idea ila watu wa dini wanasema kitabu kipo kamili.
Bahati mbaya sana ukipinga dini serikali zinainuka juu kukudhoofisha bila hoja ya msingi.
Ktk nchi za kiarabu unaitiwa fatwa popote ulipo uuwawe bila hoja ya msingi.
 
Sayansi na technology zimewaumbua sana hawa watu wa dini.
Tena haswa imani iliyojengwa kwenye quran.
Quran inamakosa ya wazi kabisa ya geography.
Lakini cha ajabu pamoja na kujinasibu kuwa vitabu vyao vinajitosheleza kabisa ukionesha makosa hayo mtu anakuja na maelezo mengine ya wanazuoni kuongezea hapo.

Wakati mimi natarajia kuwa kitabu kinachojitosheleza hakihitaji maelezo mbadala. Yaani nkisoma tu nielewe.

Sasa watu wanataka kuilinda imani yao kwa nguvu zote.
Hili ni tatzo kubwa.

Imani ni shambulio la akili.
 
Hata biblia ina aminisha mbingu zipo juu.
Sijui yesu alipaa. Sema waislamu ni wakali kutunza kurani.
 
Biblia wanasema huwezi ielewa mpaka ushukiwe na roho mtakatifu, na hao wenye huyo roho ni wachungaji ila wengine hatuwezi ielewa mpaka kina gwajima watuelekeze.
Utakuta mtu ana IQ ndogo ila anajifanya yeye ndie anaweza kukuelezea gabari za biblia ila wewe huwezi kujisomea na kuelewa.
Ila wana ombwe kubwa sana la uelewa wa natural law zinavyofanya kazi.
Mfano gwaji alisema 5G ni korona na iLiletwa na iluminati, miaka 2 mbele korona sio issue tena na TZ nayo imezindua 5G.
 
Hapo ndo wamefanikiwa.
Bila mabavu mambo yasingeenda.

Na ukiona hvyo ujue psychology zao haziko kawaida. Coz unaweza ongea nao kitu cha kawaida wao wakana juu.
 
Biblia wanasema huwezi ielewa mpaka ushukiwe na roho mtakatifu, na hao wenye huyo roho ni wachungaji ila wengine hatuwezi ielewa mpaka kina gwajima watuelekeze.
Utakuta mtu ana IQ ndogo ila anajifanya yeye ndie anaweza kukuelezea gabari za biblia ila wewe huwezi kujisomea na kuelewa.
Ila wana ombwe kubwa sana la uelewa wa natural law zinavyofanya kazi.
Mfano gwaji alisema 5G ni korona na iLiletwa na iluminati, miaka 2 mbele korona sio issue tena na TZ nayo imezindua 5G.
Hawa watu wa biblia nao wanashida kubwa sana.
Kinachonichekesha hata wao huwa hawaelewani.
Kitabu kile kile, kifungu kile kile lakini tafsiri tofauti na wanapondana.

Hawa wachungaji ni wakuwa nao makini sana.

Ukioma Watu wanaweza kufungishwa kufas, usione hao watu ni wajinga la hasha...
Tatzo ni psychology tu.
 
Back
Top Bottom