Mabadiliko makubwa huletwa kwa matumizi makubwa ya akili pasipo imani kuzingatiwa hii ni falsafa bora ya utatuzi wa changamoto.Baada ya kuanza kujitambua nlipata kujua mambo mengi na kwa urahisi kabisa.
Fikra zenye uhuru wa kutafakari na kuchanganua mambo.
Japo kwa jamii tunayoishi nayo inaweza isiyaelewe mawazo yangu kirahisi ila natamani siku wafikie hata 10% ya nkiwazacho mimi.
Tusiishi kwa kuridhika na majibu ya kiimani tuliyoyakuta.
Majibu ya kiimani ni ya zama za giza.
Renaissance (Rebirth of culture)Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini ulaya kilianza miaka ipi na karne gani ?
Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu sababu nini na lini hali hii ilianza.
AGE OF REASON
Hiki ndicho kipindi ulaya ili shuhudia mabadiliko makubwa ya kiimani pia kiutawala.
Kipi hiki imani na dini zilipitia wakati mgumu uliopelekea kuanguka kwa kiasi kikubwa katika mataifa mbalimbali ya ulaya tofauti na nguvu iliyokuwa nayo mwanzo
Kipindi hiki kilianza mwanzo mwa karne ya 17 kwenda karne ya 18. Kipindi hiki kilisisitiza matumizi ya akili katika kuchambua masuala ya kidini na kuepesha matumizi ya Imani kwa kiwango kikubwa.
Hiki ndicho kipindi sayansi na utumizi wa falsafa ulichipukia kwa kasi sana ndani ya ulaya. Sayansi na falsafa za kimaisha ziliathiri dini na imani kwa kiwango kikubwa ulaya.
Mapinduzi ya sayansi na teknolojia na uhuru binafsi ulichukua nafasi kubwa kipindi hiki, wanasayansi wengi wakubwa ulaya na duniani walianza kuonekana katika kipindi hiki.
Somo fupi la leo.
Kwa kuielezea Afrika tokana na uelewa wangu mfupi kuhusu Afrika. Bado Afrika yakabiliwa na changamoto lukuki za kushindwa kuweka ukuta kati ya matumizi ya imani na akili katika uamuzi na utatuzi wa changamotoKwa wenzetu wamepitia kipindi Cha kuchambua "faith and reason" Africa vipi?
Na wanazidi kurudi nyuma tuHuku Africa sehemu nyingi watu wanaogelea kwenye uchawiuchawi bado.
Hata wasomi bado wana imani hizo.
Mtu ana internet halafu anaamini uchawi.
Tuko nyuma miaka kama 300 kama si zaidi.
IgnoranceSababu inaweza kuwa nini juu ya hayo yote ?
Renaissance iliandaa njia ya age o
YesRenaissance iliandaa njia ya age of reason
Matumizi ya Imani na akili still bado Sio kwa kiwango kikubwa pia zaidi ya kujiendea tu pasipo vyote hivyoKwa kuielezea Afrika tokana na uelewa wangu mfupi kuhusu Afrika. Bado Afrika yakabiliwa na changamoto lukuki za kushindwa kuweka ukuta kati ya matumizi ya imani na akili katika uamuzi na utatuzi wa changamoto
Cha ajabu hii mada wazi wazi inakwepa Rise of Islam ni Europe, hata ukitoa factor ya Migration Uisilamu unakuwa kwa Kasi, pewpewresearch inaonesha by 2050 waisilamu watakuwa 11% ya Ulaya, sababu ya Migration, ila wakaendelea hata Bila Migration Uisilamu utakua 7%.Sayansi na technology zimewaumbua sana hawa watu wa dini.
Tena haswa imani iliyojengwa kwenye quran.
Quran inamakosa ya wazi kabisa ya geography.
Lakini cha ajabu pamoja na kujinasibu kuwa vitabu vyao vinajitosheleza kabisa ukionesha makosa hayo mtu anakuja na maelezo mengine ya wanazuoni kuongezea hapo.
Wakati mimi natarajia kuwa kitabu kinachojitosheleza hakihitaji maelezo mbadala. Yaani nkisoma tu nielewe.
Sasa watu wanataka kuilinda imani yao kwa nguvu zote.
Hili ni tatzo kubwa.
Imani ni shambulio la akili.
Uanzishwaji wa hili somo fupi si kwa makusudio ya kutokutambua uingiaji wa imani ya dini kiislamu katika himaya ya ulaya hapana lengo ni sote kuelemika kuhusu kipindi cha kuhoji au zama za mwanga ( Age of reason or Enlightenment )Cha ajabu hii mada wazi wazi inakwepa Rise of Islam ni Europe
TUJIFUNZE: KIPINDI AMBACHO DINI NA IMANI ZILIANZA KUPOTEZA NGUVU NA KUANGUKA ULAYAUanzishwaji wa hili somo fupi si kwa makusudio ya kutokutambua uingiaji wa imani ya dini kiislamu katika himaya ya ulaya hapana lengo ni sote kuelemika kuhusu kipindi cha kuhoji au zama za mwanga ( Age of reason or Enlightenment )
Hivyo si sahihi kuhusisha hili somo na kupinga usambaaji wa dini ya kiislamu mahali popote pale sote twapasa kutambua hilo ili fikra zetu zisiwe na ukwamo mahali popote katika kuchambua jambo hili.
Age of reason haina mahusiano ya moja kwa moja na uwepo wa imani ya dini ya kiislamu katika himaya ya ulaya
Umesoma na kuelewa vyema title na kilichomo ndani ?TUJIFUNZE: KIPINDI AMBACHO DINI NA IMANI ZILIANZA KUPOTEZA NGUVU NA KUANGUKA ULAYA
Hio ndio Heading yako, kinachoendelea Ulaya ni dini moja inaanguka na nyengine inakuja, so Uisilamu una fill gape lililoachwa na Wakristo. Hivyo kutumia hoja ya Ukristo Kupungua as if Dini inapungua na ku ignore Uisilamu huoni kama si sahihi?
Kipindi hicho hicho na Uisilamu nao ukaanza kuenea. Kwenda kwa Sayansi na Technology ulaya kunaenda sambamba na Uisilamu.Umesoma na kuelewa vyema title na kilichomo ndani ?
Ukiweka umakini utatambua kuwa title yakusudia kuzungumzia kipindi na kilichomo ndani ndicho hicho kipindi kilicho zungumwa nacho ni Age of reason. Je, ni jambo gani lakutatiza hapo ?
Wewe ni muislam ? Na je, waona somo hili lawatenga na kutowazungumzia waislam na imani yao ? na uwasambaaji wake ?
Unachanganya madesa, ulaya watu kuona dini ni magumashi si kwamba wanasilimu kutoka Ukristo kwenda Uislamu.TUJIFUNZE: KIPINDI AMBACHO DINI NA IMANI ZILIANZA KUPOTEZA NGUVU NA KUANGUKA ULAYA
Hio ndio Heading yako, kinachoendelea Ulaya ni dini moja inaanguka na nyengine inakuja, so Uisilamu una fill gape lililoachwa na Wakristo. Hivyo kutumia hoja ya Ukristo Kupungua as if Dini inapungua na ku ignore Uisilamu huoni kama si sahihi?
Unajaribu kulazimisha imani ya kiislamu ifungamane na age of reason kwa hili haupo sahihi kwa asilimia zozote zile.Kipindi hicho hicho na Uisilamu nao ukaanza kuenea. Kwenda kwa Sayansi na Technology ulaya kunaenda sambamba na Uisilamu.
Scientist wengi wa Mwanzo walikua Middle East,
Ukiangalia Scientist wa Mwanzo mwanzo Ulaya kama Galileo utakuta vitabu vyao Citation zao wanafanya kwa Scientist wa Middle East.
Hivyo hiyo unayoita Age of Reason nayo pia ni cheche za kueneza Dini nyengine.
Mkuu umeongea ukweli kabsa katikati ya kundi kubwa la watu waliolala usingizi .Baada ya kuanza kujitambua nilipata kujua mambo mengi na kwa urahisi kabisa.
Fikra zenye uhuru wa kutafakari na kuchanganua mambo.
Japo kwa jamii tunayoishi nayo inaweza isiyaelewe mawazo yangu kirahisi ila natamani siku wafikie hata 10% ya nkiwazacho mimi.
Tusiishi kwa kuridhika na majibu ya kiimani tuliyoyakuta.
Majibu ya kiimani ni ya zama za giza.