Tujifunze kutunza kumbukumbu za members wote wanaosapoti mauaji ya halaiki.

Wewebfanyabkazi zako,acha kupoteza muda
 
JF haiwezi kuwa ya kutetea majambazi na vibaka walioingza tamaa zao za kuvamia na kuvunja maduka, kuchoma vituo vya mafuta na magari..had dhana ya maandamano ikapotea!

hvo, hamtanifanya lolote mapunga nyie..na hlo ndo jina langu origino na sina fake id..

nafurahia sana majambazi na wezi kuuawa!
 
 
(2) I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi! | JamiiForums I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!
 
Kuna vijana humu hawajitambui (nafikiri wanatumwa), inabidi wafungue macho maana nchi imeshabadilika sana hii, soon wataumizwa wakati wanaowatuma wameshakimbia. Nimekaa palee...!
 
Wazo zuri na ikiwezekana kipindi hiki cha maombolezo nyuzi za maudhi ziwe banned tafadhali moderators.Hili ni janga la Taifa.
Mimi huwa nashangaa, CCM na liserikali lao waliamua kuban JF isiwe hewani. Why uongozi wa JF wanaruhusu watu wa CCM uweka contents zao,walitakiwa wawe wanafuta nyuzi na kuwafungia accounts zao maana sio watu wanaotakiwa kuwapo hapa.


Hata kule Twitter natamani Elon musk afungie account zote za viongozi wa CCM na kufungia maudhui yanayohusiana na wahalifu wanaojiita serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…