Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,964
- 7,862
Kuna hili punga KERATO MOMBAA
Atabadili ID.Wa kwanza Lucha
Wewebfanyabkazi zako,acha kupoteza mudaKumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani.
Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia.
Wao naona familia zao na ndugu zao wapo salama sana, na wala hawana uchungu wala chembe ya huruma kwa vifo vya watanzania wenzao.
Nashauri tutunze kumbukumbu zao maana ipo siku na saa isiyo julikana itakuwa ni zamu yao ya kulia na kusaga meno, naam nasi tutakuwepo kuwadhihaki na kuwaongezea machungu.
Japo watawala wamegoma kushusha bendera za nchi nusu mlingoti, ila mioyoni mwetu bendera zinapepea nusu mlingoti, ipo siku tutalipiza kisasi.
Tusiache kuwasilimua vizazi vyetu waone namna serikali ya ccm ilivyokuwa ikiwafanyia babu zao.
TULIA MQUNDU WEWE!Nyumbu wewe
JF haiwezi kuwa ya kutetea majambazi na vibaka walioingza tamaa zao za kuvamia na kuvunja maduka, kuchoma vituo vya mafuta na magari..had dhana ya maandamano ikapotea!Kuna hili punga KERATO MOMBAA
unalipenda ilo jina sana nn
JF haiwezi kuwa ya kutetea majambazi na vibaka walioingza tamaa zao za kuvamia na kuvunja maduka, kuchoma vituo vya mafuta na magari..had dhana ya maandamano ikapotea!
hvo, hamtanifanya lolote mapunga nyie..na hlo ndo jina langu origino na sina fake id..
nafurahia sana majambazi na wezi kuuawa!
(2) I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi! | JamiiForums I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!JF haiwezi kuwa ya kutetea majambazi na vibaka walioingza tamaa zao za kuvamia na kuvunja maduka, kuchoma vituo vya mafuta na magari..had dhana ya maandamano ikapotea!
hvo, hamtanifanya lolote mapunga nyie..na hlo ndo jina langu origino na sina fake id..
nafurahia sana majambazi na wezi kuuawa!
Taarifa zako tunazo.Nyumbu wewe
Nyumbu weweTaarifa zako tunazo.
Lucha tulia, utaonekana kibwengoNyumbu wewe
Hao niliwaignore hivyo sioni mashudu yao.Umemsahau yule shetani BIG SHOW, Mtoto wa shule, na lile punguani Mwashambwa.
Hakika upo sahihi mkuu.Katika hili Moderator watusaidie kabisa ili hata wakibadili I'd tujulishwe! Ni Jambo la muhimu sana tusipuuze wakuu maana huenda hawa ni wahamiaji haramu
Mimi huwa nashangaa, CCM na liserikali lao waliamua kuban JF isiwe hewani. Why uongozi wa JF wanaruhusu watu wa CCM uweka contents zao,walitakiwa wawe wanafuta nyuzi na kuwafungia accounts zao maana sio watu wanaotakiwa kuwapo hapa.Wazo zuri na ikiwezekana kipindi hiki cha maombolezo nyuzi za maudhi ziwe banned tafadhali moderators.Hili ni janga la Taifa.