wengi kwa namba gani? lete namba mjomba sio hisia, mimi naishi mtaani napita vijiweni nawasikia watu wakimsifia na wengine wanawalaani, kiusalama ilikuwa sahihi aende mafichoni maana mlijipanga kupindua nchi mkadhibitiwa mlitaka mwende uwanja wa taifa mlushe visu vyenu, kwani mafichoni sio ndani ya tanzania? lete sheria na kanuni inayosema lazimaaaaa yani lazimaaaaa iwe uwanjani? mlichoma sheli, vituo vya mwendo kasi, mliua polisi je serikali ingejua zaidi yahapo wahalifu wana nn na wamejipangaje? halafu serikali ikae kizembe? kwahiyo kama mliambiwa msipige kura endeleeni na maisha yenu na waliopiga kura waendelee na maisha yao, mliwaambia wananchi wasiipe serikali ushirikiano kiko wapi? mpaka mnachukia simba na yanga watu wanavyojaa kiko wapi watu wameacha? mpaka miaka 30 ya bongo fleva mnachukia aisee nyie ni makatili sana.