PostGE2025 Tujihoji: Kama watanzamia mil 32+ walimchagua mbona anachukiwa kwa kiasi kikubwa na Wananachi?

PostGE2025 Tujihoji: Kama watanzamia mil 32+ walimchagua mbona anachukiwa kwa kiasi kikubwa na Wananachi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hujui chochote wewe. Kawailize mawakala wa uchaguzi wa 2015, 20, na 25 kama hicho unachokisema wewe ndicho kilichofanyika?
Unaondea umebinua matako hapo posta wakati mie nakupa evidence kutoka kwenyi field vijijini huko
hujui chochote mjinga wewe sasa mawakala wasiwe ndani ya vyumba vya kura itakuwa ina maana gani,
 
Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.

Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea

Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.

Afanyeje ili mambo yapoe?
Nani anamchukia zaidi ya wapumbavu wachache kama wewe. Anapendwa mno na kila mtu huku mtaani ispomuwaTEC qmbayo iko kutetea maslahi tu baada ya bugano na shule zao kuwlekea kufa baada ya mama kubooresha kila kitu
 
tra na mahakama kuajiri sio ajira rasmi au umechanganyikiwa maana hutaki maendeleo ili upate kuandika utumbo, fanya kazi upate pesa hakuna rais atakugaia hela hata wakati wa mkapa hela ilikuwa ngumu maskini walikuwepo, waliojenga walikuwepo, na wasiojenga walikuwepo, kwahiyo tulia usishikiwe akili, wakati wa nyerere maisha yalikuwa mazuri? uliza wazee wako wakwambie? wakati wa magu hali ilikuwaje?
Machawa mmeanza kipindi cha Jiwe. Period
 
Back
Top Bottom