Tz hakuna masikini hoehae? Unazungumzia Kenya kwa kusikia stori tu. Nimeishi Tz na Kenya na sehemu nyingine nyingi tu. Ila machawa wako Tzmbona nikikwambia kenya kuna maskini hoehae unakwepa? hao kenya wametupita nn weka namba kama unataka, ghafla unakimbilia elimu, usiwe mtumwa wewe mjinga mkubwa sana.